gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,229
- 17,686
Mambo ya kingese kweli, yaani wee ulioa mwanamke mbaya ukaa ha fundi.....idiot!Wakuu,nipo kwenye 40s,mke wangu alitangulia mbele za haki,nina watoto watatu,mkubwa yupo la saba
Sasa huko ujanani nilikua na hawara,kwa kweli mzuri kuliko marehemu mke wangu ambaye ni huyo kwenye avatar, kwenye ufundi yule hawara ni fundi haswa
Tatizo ni dada wa mjini,yupo salon,na ashakua na mahusiano tofauti mengi tu,sasa nadhani kachoka kuishi peke yake,ananisihi tufunge ndoa,tulete na ngulu mbili kama watatu hivi ndani ya miaka kumi ijayo
Kinachonikwaza ni kinyaa,idadi ya wamba walioshindilia mitarimbo kwenye tundu lake takatifu, tofauti na hapo najua hakuna hatari yoyote kwa wanangu, ukizingatia roho mbaya za wanawake kwa watoto wa kufikia..na kulala peke yangu nimechoka
Acha tu mkuu, yani ili baki hivi tu 🤌🏾 ningekuwa pm kwa msela.Hizi profile picture hizi
Huyo ni marehemu mke wanguHizi profile picture hizi
Mke wangu mzuri,huyo kwenye profile,ila hamfikii xMambo ya kingese kweli, yaani wee ulioa mwanamke mbaya ukaa ha fundi.....idiot!
Kinachonikwaza ni idadi ya wamba waliopigaKuna kitu halipo sawa hapa ...
Unahitaji huduma ya ushauri nasaha.
Kwa haya uliyo andika unadhani sahihi ndugu wa marehemu wakiona hapa uliyo andika ukimuhusisha na ndugu yao aliye fariki?Huyo ni marehemu mke wangu
ShukraniIlibaki hivi tu 🤌 nizame pm kwako nikidhani ni mrimbwende according na avatar uliyoweka.!!!
Anyways pole sana kwa kumpoteza wife mkuu.
Si watu wa mitandao,Wana vitochiKwa haya iliyo andika unadhani sahihi ndugu wa marehemu wakiona hapabo uliyo andika ukimuhusisha na ndugu yao aliye fariki?
Sass wee uliendaje kwa 2nd best baadala ya kuchukua pisi kali?Mke wangu mzuri,huyo kwenye profile,ila hamfikii x
Unaongeza mtanzikoUnataka uoe malaya aje aisambaratishe familia yako?
Kivipi mkuu mesut ozil 11Hata wajinga wanazeeka trust me