Wyne bridge vs j terry,juma kaseja vs a.chuji

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Jamani sidhani huuu upuuzi wa wyne bridge unafaa kuendelea kule uingereza,..huu ni upuuzi na itachukua muda kuelewa
wewe umeachana na mwanamke .na mwanamke anaitaji mtu wa kumliwaza,...ati unaweka bifu na jamaa atakaemwokota si ujinga huo,..kitendo cha w bridge kutopokea mkono wa j tery huu ujinga usikubaliwe hapa tanzania,....
Tumeona bifu la kaseja na a chuji jamani,..tena mke wacha ka gfriend,..jamaa akuona noma akaenda kucheza timu moja na mume mwenza,....leo hii ni marafiki na aitoshi ddamu zinavyopendana wakatolewa wote taifa stars na natumaini anaekuja atawarudisha pamoja
so sioni huu ujinga kuendelea kuendekezwa ,...umemwacha mwanamke ulitaka babako aje kutembea na wewe???huu si uhuni jamani.......
Kwa wapenzi wa mchezo nawaomba rashi kama nimewakasirisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom