Mamelodi sio mwenzako atawshangaza leoAya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.
Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.
Hamkushiriki?Al ahly na wydad tumewachoka sasa kila siku wao tu
Al ahly na wydad tumewachoka sasa kila siku wao tu
Goalkeeper alimsukuma refa, sikupenda ni kama dharau hvi
Kaingie nao fainaliAl ahly na wydad tumewachoka sasa kila siku wao tu
Simba ni ndogo ukilinganisha na hao miamba waliobakiHamkushiriki?
Game yao saa ngapi ?Al ahly anatolewa leo
Nahisi baadhi ya waarabu hudharau Sana mtu mweusi hasa wakiwa huko uarabuni, sidhani kama angethubutu kumsukuma refa mzungu namna ile!!sijui kwanini hakupewa kadi.
Umetumia neno zuri "mikakati"ukiangalia game ya Leo ilijaa hesabu tupu nidhamu tensity hii level ya nusu ni ngumu sanaNaunga mkono hoja yako mkuu waydad kipimdi cha pili walionekana kuzidiwa zaid,. Kuhusu simba na yanga kweli sisi bado sana hatuna kasi ujuzi wa kumiliki mpira oimakakati pia hatuna kwahyo ni vhangamoto kubwa wachezaji wetu ni wazito sana.
Na hii inaletwa na vilabu vyetu havitaki kuwa na projrct ya kutengeneza wachezaji kwaajili ya kuwatumia siku zijazo.
lkn tuwapongeze waydad kwa kuwa na wapigaji wazuri wa mikwaju ya penati hongera kwa aliyevuka.
Ukiangalia namna Al Ahly game 1 dk za mwisho namna alivyompushi Mamelody basi inawezekana Mamelody Akala kichapo mda si mrefuAya ya mwisho imemaliza kila kitu. Halafu unakisikia kuna kitimu kutoka mtaa wenye mafuriko kinasema kitampiga Al Ahly kilaini, na kwamba chenyewe levo yake ni Mamelodi. Hii nchi haitaisha vichekesho.
Tukirudi kwenye game ijayo:AL AHLY ANAENDA KUMTOA MAMELODI SUNDOWNS. Wale Wazee wa kukariri sijui Mamelodi huwa anampiga Al Ahly nje ndani leo ndo mtaenda kujua kuwa Al Ahly ni Real Madrid ya Africa.
Game yao saa ngapi ?
Simba ni ndogo ukilinganisha na hao miamba waliobaki
Mkuu hata mi nilitaka aingie Esperance ila si umeona upigaji wa penalty na nidhamu ya Wydad!?Al ahly na wydad tumewachoka sasa kila siku wao tu