www.(name)blog.com badala ya www.(name).blogspot.co.com

www.(name)blog.com badala ya www.(name).blogspot.co.com

Mimi si mtaalamu wa web designing lakini nadhani hiyo ya mjengwa ni zile domain za kulipia na hiyo yako ni zile za free kwa labda labda na wewe ufuate procedure za manunuzi. Samahani lakini kwa mawazo yagu finyu. Ila wataalamu watakupa msaada
 
Inabidi ununue domain name tumia service kama dynadot.com au namecheap.com au kama hauna njia ya kulipia kuna kampuni zabongo zinaweza kukununulia. Kisha hiyo domain utaielekeza kwenye hiyo blog yako.
 
kama tayari una domain, set mx records kwenye dashboard ya blogger zipoint kwenda kwenye domain yako, pia kwenye domain yako fanya hivyo, ni rahisii sana
km huna domain nichek tufanye biashara

mi ninayo hii hapa wamtaanitz.com ila wameniambia ipo naked nifanyeje ili ivae..
 
mi ninayo hii hapa wamtaanitz.com ila wameniambia ipo naked nifanyeje ili ivae..

nani waliokwambia iko naked? kama unashindwa nipm ur previllegies nikusaidie kukusetia
 
Back
Top Bottom