Wwiii

Wwiii

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
1411473196000-dayxxxx0001.jpg

A Russian Soyuz TMA 14 M spacecraft is transported to the launch pad at the Baikonur Cosmodrome on Sept. 22 in Kazakhstan
 
dunia haijawi na haitawahi kuwa sehemu salama ya kuishi
 
Na huyu Vladmir Putin akili zake ziko kama kashata, mbona Dunia hii sasa hakuna usalama kabisa.
Juzi tu hapa hawa watu walitungua ndege ya abiria wakasema bahati mbaya.
 
Mambo haya ya Makombora ndiyo yaliyomuuwa Rais wa Korea akamwachia Nchi mwanaye sasa.
alikuwa yupo radhi Wananchi wale nyasi ila awe na zana nzito kujilinda akasahau kuwa Mungu ni zaidi ya zana za Mwanadamu.
 
Hizo ni propaganda za nchi za magharibi amazo wanataka kumiliki mataifa yote. huko marekani pia kuna watu wanalala barabarani na hawana chakula - na nchi yao inajenga kila aina ya silaha na ina deni kubwa kuliko kiasi
 
Wenzetu wapo bize kwnda mwezini, sisi tupo bize kuulizana kadi za gari na leseni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom