mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Hata Mimi sina msaada kwako [emoji4]Pole... sina namna ya kukusaidia
Hata Mimi sina msaada kwako [emoji4]Pole... sina namna ya kukusaidia
Hapana MkuuCc Malcom lumumba umeisoma hii!?..
Waulize Hezbollah ilichowafanya tena inakadiriwa walikuwa hawazidi 2000 mnamo 2006.Kumbe waarabu wanatandikwa na mashoga [emoji15] [emoji4] nilikuwa sijui mukuli [emoji38]
Waulize Hezbollah ilichowafanya tena inakadiriwa walikuwa hawazidi 2000 mnamo 2006.
Huwezi kuongea maneno mazito kiasi hicho hovyo hovyo tu
Pole... sina namna ya kukusaidia
KabisaManeno aliyoyazungumza ni makali sana. Pengine yanaweza yakawa ni uzushi tu kama walivyosema kwa vile amekaa mda mrefu bila kuongea.
Hayo maneno mbona yanaongewa kama na mtu asietumia akili vile yaani amechangiwa au anaupungufu wa akili kifupi ni hayawani
Ukiacha trump na yule kiongozi asiyetajika hakuna kiongozi mwingine anayeweza kuropoka hovyo kama hana ugonjwa wa akili.Mkuu, Kissinger ni binadamu mwenye analytical mind kubwa na mwana Diplomasia mahili sana, hata siku moja hawezi kutimia lugha za mitaani ku-send a message to anyone iwe adui au rafiki hiyo si hulka yake - having said that nina uhakika hii ni taarifa ya kutunga tu for some reason - kama kweli Kissinger katamuka maneno haya yasio na busara, basi naona uzee wake umeanza kumchanganya akili i.e ameanza kuchanganyikiwa.
Hivi hawa jamaa..wanajitambua kweli!? 12 demands to Iran, kete ya kuongeza bei ya silaha. Ebu tuone kwanza.
‘Strongest sanctions in history’: Pompeo issues 12 demands to Iran, vows ‘unprecedented pressure’
Hivi hawa jamaa..wanajitambua kweli!? 12 demands to Iran, kete ya kuongeza bei ya silaha. Ebu tuone kwanza.
‘Strongest sanctions in history’: Pompeo issues 12 demands to Iran, vows ‘unprecedented pressure’
Hapa dawa ni wa teule kupigwa huu ni ujinga haukubaliki!Hivi hawa jamaa..wanajitambua kweli!? 12 demands to Iran, kete ya kuongeza bei ya silaha. Ebu tuone kwanza.
‘Strongest sanctions in history’: Pompeo issues 12 demands to Iran, vows ‘unprecedented pressure’
Well said Mkuu - Hivi sasa nchini Marekani kuna watu wawili ambao ni nadra sana kupima madhara ya kauli zao kabla hawaja zungumza, kwa maneno mengine ni waropokaji, wa kwanza ni Trump uzuri wake upenda sana aonekane kwa wapiga kura wake ni mbabe na decisive lakini ukimchunguza deep down hana hulka ya ukatiri na yuko flexible,wa pili ni BOLTON huyu jamaa ni hatari sana kwa amani Duniani ni mpenda vita kupindukia - uzuri ni kwamba kadri ya siku zinavyo kwenda naona Trump atalazimika kumtema kutokana na hulka ya Bolton kuwa too hawkish, juzi juzi hapa wali tofauti ana na Trump kuhusu how to deal na Iran, wa mwisho alikuwa na Marehemu Seneta MacCain wa Jimbo la Arizona huyo alikuwa anaona skeletons za Wacommunist kwenye closet zake, kama angefanikiwa kuwa Rais wa Merikani kesho yake angetoa directive za ku-carpet bom Urusi back to stone age ERA kwa kutumia thermonuclear bombs/missiles.Ukiacha trump na yule kiongozi asiyetajika hakuna kiongozi mwingine anayeweza kuropoka hovyo kama hana ugonjwa wa akili.
Bila kung'ata maneno, ni fake news...Hayo maneno ya Kissinger ni makali sana. Nina mashaka na hiyo habari. Yaani ni makali sana.