Wrong ring tones?

ha ha ha ha....dah naadhani huyo muumini walipata wakati mgumu sana. unampenda yesu hajakosea. tatizo ni pale waislam wenzake kugundua jamaa ameshahamia dini ingine kimya kimya!:scared:
 
hapo sipati picha kizaazaa chake kilikuwaje
 
vibaya jama sini nyimbo kama nyimbo nyingine
 
alaaniwe aliechora hii picha.c vitu vya kutania km upumbavu mliozoea.
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaa sasa hiv watu wataanza kuingiza udini wkt haiusiani kabisa lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…