Wrong number imenivurugia ndoa

Wrong number imenivurugia ndoa

Kwavile Una mchepuko wako usijali huenda kakubeep kuona kweli umeoa?
 
Kama mwanamke, kamshughulikie ujue unatukanwa kihalali.Mbona mwenzio alisingiziwa anatoka na dancer wa Domo, akaacha ndoa akafanya kweli? Cha gamka brother!!!

kumbe mtoto ni mhe...... Tena rais mtalajiwa ahaaaaa kiding
 
Kama hajawai kukuona na michepuko atakusamehe tu. Ila kama una mchepuko kwa sasa upe likizo ili umpe mkeo mda wa kukuamini. Na mkeo kama anafanana na "monica na nicole" the legal wife hapatoshi
 
SIPIYU30

Mkuu pole!
Wakosea namba ni shida sana!

Upande wa mkeo kupanic ni lazima but kaa naye kwa upole na mkumbushe maisha yenu siku zote yako vipi!
1. Je amewah kukufumania?
2.umewahi kuwa na michepuko nae akajua?
3. Yuko huru na simu yako, amewah kukutana na vitu kama hivo?

Kiufupi mwoneshe kuwa hufikirii kufanya hivo! Ila duuuuh!
 
Last edited by a moderator:
SIPIYU30

Sasa mkuu unataka kumpigia umueleze nn tena??? Kuendeleza mawasiliano ni kukaribisha ukaribu ambao unaweza kukuingiza kwenye matatizo zaidi ya hilo .

Ongea na mkeo akuelewe , kama haelew achana puuzia tu hilo jambo na si kumtafuta huyo mdada kwa maana akijua bado mnawasiliana ndy patachimbika bila jembe.
 
Last edited by a moderator:
Ikishindikana sana tafuta mtu naye ajifanye amekosea kwa mkeo ili ajue kuna kukosea namba
 
Muulizw mkeo ufanye nini ili aamini kuwa huhisiki na sakata hilo,muulize kwa upendo na mnyenyekee uokoe ndoa yako. Wenye majibu ya kero hata kuchumbia/kuchumbiwa hawajawahi
 
Muulizw mkeo ufanye nini ili aamini kuwa huhisiki na sakata hilo,muulize kwa upendo na mnyenyekee uokoe ndoa yako. Wenye majibu ya kero hata kuchumbia/kuchumbiwa hawajawahi
Hilo jambo halipo ktk kamusi ya mwanamke hata mmoja!!!

Pole sana SIPIYU30, inahitaji muda tu wife atapowa...wewe just act normal na ukaribu kwake!
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! Mbona kesi nyingine ni simple sana 1. Nenda polisi kafungue jalada la kutukanwa, polisi watamtafuta muhusika na mkeo atakuwa shahidi.
2. Ningekuwa mimi kwa kuwa nimetukanwa tayari ningemtafuta muhusika nimgegede ili tubalance equation
3. Mmeagizwa muishi nao kwa akili... Hiyo ni txt meseji tu hajakukuta unamgegeda bana
 
Ikishindikana sana tafuta mtu naye ajifanye amekosea kwa mkeo ili ajue kuna kukosea namba

Kabisaaaa mana wengi wanajifanyaga kichwa ngumu. juzi nimetukaaaaaaanwa japo nilimwambia nimekosea no. nikajikalia kimya alipochoka akaacha. nikajisemea ningekua cngle yale matus angeyalipia labda km huyo bwana hakidh viwango.
 
Pole sana kiukweli hakuna njia ya haraka ya kufanya wife wako akuelewe u just keep cool time will tell , baada ya miezi kadhaa mkumbushe na umwambie ile ilikuwa wrong number atakusikiliza mi nilishakutana na noma kama hiyo kutoka kwa mwanamke ninayemfahamu na pia nilimsev ile yy alituma sms ya malavidavi kimakosa kwangu akishukuru kiboko kitamu nilichomtandika mchana wa siku hiyo wife akaiona, balaa lake lilikuwa ni world war iii ,mabalaa yapo kaka!!
 
Kama simu ilikosewa na ukweli unao wewe mambo yatakaa sawa tu. Ninachoamini ni kwamba Mungu ataingilia kati na kusema na mkeo naye ataelewa.
Mimi simshangai huyo mwanamke kwani dunia ya sasa imejaa maigizo kwenye ndoa. Na hata hivyo inaonyesha anakupenda na kukujali ndo maana alihamaki hivyo. Angekuwa hakupendi au ana mchepuko asingekuwa mkali hivyo.

Nakupongeza kwani unaonyesha kusikitishwa na kitendo kilichotokea ila naamini mambo yatakaa pouwa tu with time.
 
Kama simu ilikosewa na ukweli unao wewe mambo yatakaa sawa tu. Ninachoamini ni kwamba Mungu ataingilia kati na kusema na mkeo naye ataelewa.
Mimi simshangai huyo mwanamke kwani dunia ya sasa imejaa maigizo kwenye ndoa. Na hata hivyo inaonyesha anakupenda na kukujali ndo maana aliweza hamaki hivyo. Angekuwa hakupendi au ana mchepuko asingekuwa mkali hivyo.

Nakupongeza kwani unaonyesha kusikitishwa na kitendo kilichotokea ila naamini mambo yatakaa pouwa tu with time.
 
Back
Top Bottom