Wrong no ananichanganya

yule mwenzako wa mbeya akaamua kukutana naye yule demu wake wa "wrong" number...mara ghafla demu kapotea room saa sita usiku...mara jamaa kaamka haoni...kama unaweza kutokujiingiza kwenye hatari zisizo na sababu fanya hivyo
 
hivi wewe unayasikia 'majini' au ni aje? mtu hakujui eti kakupenda hadi anakulilia! utajuta kumfahamu!
 

believe me, zipo hizi. Na wanaweza wakakutana wikiend ijayo (siku ya.10), na akafanya nae ngono nzembe! Kua uyaone, sio maghorofa!
 
Mh, kabinti kamekupenda ila hakajaonana nawe, kana wivu juu yako,eti unakazimia simu lakini kanaendelea tu kupiga na kukutumia sms (sijui kana kupateje hapo_

Kabintikanataka kuja mkoa ulipo, eti kanalia!

Aisee.hako katakuwa Ka. Wema Sepetu.
Kama sio Ka BwaBwa!

Kaimbie " Mi nataka kesho,twende ukamwone mama x2"(wa Diamond Platinum)
 
ahahahhah
 
watu mna vituko jf.haya mambo yapo,ila huyo binti amekuwa kama desperate.kama kweli hauna interest nae,dawa ni kutokupokea simu na uendelee kumpa makavu live.ukiona bado usipokee simu zake atapiga mwisho atachoka.vibinti vyengine vina ny.ege za ajabu ajabu
 
ahahahahahah..nimekuelewa..
 
Hahaaaa!Jamani, binadamu si mnyama usema agegede kwa kusikia sauti tu.Kwani wewe jogoo useme unamzia mtetea kwa kusikia sauti tuu?Hizo ni gia za kukuingilia tuu, soon utasikia "Babie I need a blackbery, my torch light mobile demaged".
 
Wrong no nilioipata mie ilikuwa ya mshairi mmoja ambae alikuwa akinitumia mashairi kibao. Alikuwa akinifurahisha sana lakini kwa bahati mbaya phone yangu ikaibiwa na hapo ndipo mawasiliano yalipoisha na lau sio hivyo labda ningelikua mshairi pia mm... Na madala yakua Wrong no. Ingeligeuka na kuwa Right No. Lol. .... Sitamsahau kipenzi changu Mshairi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…