twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
- Thread starter
-
- #21
mkuu umeelewa nilivyotumia neno ngekewa kwenye iyo thread?soma upya.kipofu kaona mwezi
wakati wengine tunaona nuksi na kuwa wakali kwa simu za wrong number, wengine wanaona ngekewa.
Dunia haiishi vioja
Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.
hapana mkuu sijanogewa jamaa kanichekesha tu,i real hate situationmhhhhhh msaada wahitajika kweli hapa mbona yaonesha umenogewa
weka namba yake hapa
vidume vya jf vikuondolee usumbufu
kashaanza kumzimia ndo maana anasita kutuwekea namba hapa
real story mkuu,natamani kuapa lakini naona nitakuwa nimevuka mipaka.Just trust me and give your advices.Mnapata wapi muda wa kutunga hizi story?
Natamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.
ahahahahah..mkuu mtoto anabembeleza hatareee,siwezi kutoa namba yasijewakuta mabaya nami nikaingia kwenye mtego.Nipeni mbinu za kujinasua.
nimefikiria hivyo na nikimwambia nahisi we unanifahamu anakasirika ile mbayaa..Anaweza akawa ni mtu anaekufahamu vizuri,she is just playing with ur mind
hahahaha!mkuu sioni wivu bhana hofu yangu in case nimeitoa iyo namba mtu akafanyiwa kitu mbaya huoni kuwa naweza kuhusishwa kuwa sehemu ya watuhumiwa?kinga ni bora kuliko tibaNdio maana Risk Taker wa JF wakakuambia wape number wao wa-risk!inaonekana wewe ni muoga n u don't want to dare...wape vijana wakufunulie kitu mkuu..au na wewe unaona wivu sasa?
mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri.Nilipojaribu kutomjibu alinitumia msgs za kulalamika mfulululizo na kupiga simu kama kichaa.Nilimblock by adress msgs zikawa zinaingia kwenye spambox,.Naangalia vizuri kama nitaweza kumblock complete.Mkuu twende kazi,
Here are scenarios;
1. Mtu huyo anakujua, na anafanya makusudi(lengo anajua yeye)
2. Hana kazi(idle) na kama anakazi muda wake wa kupumzika ndio 'anakupumzikia'.
3. Amefanya hivyo kwa sababu ulimuahidi/ulim-entertain yaani hadi kujuana mikoa sijui na mambo kama hayo.
Kwani, ulipojaribu kutomjibu ilikuwaje mkuu, kama bado jaribu hii..kulingana na maelezo yako, inaonekana unatumia simu nzuri probably 'smartphone', kama ndivyo kuna apps nyingi za kuweza kum-block huyo mtu.
Endapo utaendelea kum-entertain pengine itakuwa shida si yeye, ...and worse case scenario utaibiwa mjini hapa. Wala usijipe moyo kuwa watu wana-register namba, kuna fake IDs nyingi sana.
So, unless you are idle and you enjoy the game(having fun), don't play along, mkuu.
Huyo jini MaimunaNatamani kusema sijui ndo wewe,ila unaonekana una heshima sana hasa ukizingatia ukongwe wako JF.Kweli mkuu inawezekana kumpenda mtu usiyemuona hata sura?Tena kwa mawivu tele na mbwembwe kibao?Inakuingia akilini kweli?Mtoto wa kike anajiachia vibaya mno na anataka nimgegede anytime nitakapohitaji.Kama sio utapeli ni nini?Sina sababu yoyote ya kujisifia ujinga kwa mtu ambaye hata sura yake siijui.Nimelileta Jf kwa ushauri zaidi kabla sijakutana na hatari mbele yangu.