icca
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 186
- 177
Hello wana jukwaa.
Mwishoni mwa mwezi wa tano, kulikua na usaili wa kuandika Mottmac Dodoma, wakasema watatoa majibu ndani ya wiki mbili.
Wiki mbili naona zimeisha.
Kwa waliofanya usaili uo kuna lolote linaendelea uko, mmepatamajibu yoyote.
Na kama kuna mtu humu ndani wa organization io, atuambie basi yanayoendelea.
Ahsanteni, Majukumu mema.