macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,289
Utumishi kuna mambo meng mengine hayaelweki uhalisia wake na nini knapelekea wawe na maamuzi hayo...sisi tuliletewa pepa aihusiani na hiyo position lakn ndo hivyo hakuna namna tukafnya waliopita wakapita....lakni it's not fair na mambo kama haya ndio yanaibua hisia kwmba kuna hila nyingi utumishi ktk kuendesha mchakto wa ajira
Mkuu inategemea post inayotangazwa. Kwangu mimi naona ni ujinga wa hali ya juu kuita eg watu elfu tano kwenye written interview wakati lengo lako ni watu watano au kumi. Kwa nini usichambue wale best waitwe? Au kama unataka kuchanganya unachagua kwa mfano wenye A kumi, B watano na C watatu. Kinachotakiwa ni kuwa fair.Sasa mkuu nan aitwe kwenye interview na Nan asiitwe kisa nafasi moja Kama wote wamefika sifa unazotaka wasiitwe
Ukifanya hivyo hakuna fair Tena kwamba wenye A Kumi Wenye B watano aiseee aliyepaya A ukikuliza why mie Nina A hujaniita ila mwenye B umemuita tena umeita watano na C watatu mie umeniacha utamjibu nn kwamba nimeamua tu? SURUHISHO HAPO ni ita wote walioomba na Wenye sifa mkuu hata Kama wapo 5900 atakeyefanya vizuri ndo huyo huyo kwa sababu mie usiponiita mkuu lazima nilalamike tu so kikubwa kama unaona nafasi ni moja na watu ni wengi usiende tu dodoma hata mie Kuna kazi nimeomba inataka mtu mmoja ikinikuta na Hela nitaenda kufanya Pepa ila wasiponiita hata nisipokua na Hela nitasikitika tu mkuu so tuitwe woteMkuu inategemea post inayotangazwa. Kwangu mimi naona ni ujinga wa hali ya juu kuita eg watu elfu tano kwenye written interview wakati lengo lako ni watu watano au kumi. Kwa nini usichambue wale best waitwe? Au kama unataka kuchanganya unachagua kwa mfano wenye A kumi, B watano na C watatu. Kinachotakiwa ni kuwa fair.
Ukiomba nafasi ya kazi siyo lazima uitwe kwenye interview, hata kama una sifa. Mwenye maamuzi na vigezo vyote ni mtoa ajira. Nimeandika kitu kilichokwisha kuona. Mwajiri anaweza kabisa kuchanganya waombaji elite na moderate kwa sababu siyo kila mwenye score nzuri kimasomo anamaanisha kuwa na akili. Najua ni kweli kuna changamoto kuonyesha kuwa ume-treat kila mtu fair kwenye ajira za serikali, idara zake na mashirika, ila kuita watu elfu tano ili upate wapte kwangu mimi naona siyo sawa.Ukifanya hivyo hakuna fair Tena kwamba wenye A Kumi Wenye B watano aiseee aliyepaya A ukikuliza why mie Nina A hujaniita ila mwenye B umemuita tena umeita watano na C watatu mie umeniacha utamjibu nn kwamba nimeamua tu? SURUHISHO HAPO ni ita wote walioomba na Wenye sifa mkuu hata Kama wapo 5900 atakeyefanya vizuri ndo huyo huyo kwa sababu mie usiponiita mkuu lazima nilalamike tu so kikubwa kama unaona nafasi ni moja na watu ni wengi usiende tu dodoma hata mie Kuna kazi nimeomba inataka mtu mmoja ikinikuta na Hela nitaenda kufanya Pepa ila wasiponiita hata nisipokua na Hela nitasikitika tu mkuu so tuitwe wote
Ni sawa mkuu kuita watu wengi mtu Kama unaona nafasi ni moja acha tu kuomba itakua vizuri ila sio unaomba then unataka uitwe peke Yako hapa na wengine waachwe hiyo HAIWEZEKANI twende tu wote Wenye sifa then tukakandwe tulidi mie na uhakakika wewe ukiomba kazi usiitwe lazima ulalamike yaaan uombe kazi mfano Tano zote watu wawe Zaid ya buku then wachuje wabaki watu Saba mfano then kazi zote hizo Tano wawe wanakutema WASIKUITE then utaendelea kusema wapo fairUkiomba nafasi ya kazi siyo lazima uitwe kwenye interview, hata kama una sifa. Mwenye maamuzi na vigezo vyote ni mtoa ajira. Nimeandika kitu kilichokwisha kuona. Mwajiri anaweza kabisa kuchanganya waombaji elite na moderate kwa sababu siyo kila mwenye score nzuri kimasomo anamaanisha kuwa na akili. Najua ni kweli kuna changamoto kuonyesha kuwa ume-treat kila mtu fair kwenye ajira za serikali, idara zake na mashirika, ila kuita watu elfu tano ili upate wapte kwangu mimi naona siyo sawa.
Huko kwenye TA waite tu hata waliomaliza shule jana, si kwingine ambapo watu wanahenyeka na ma-interships kibao na vijiwe lukuki ili wapate uzoefu mzuriSasa wewe mkuu mtu wa afya tunataka TA Kweli tuangalie experience wakati sie tunataka mtu wakufundisha watu hapo chuo terminology zote umesahau utafundisha nn Sasa huyo mwanafunzi au utafundisha practical tu
Hapo ukiwa na panel ya:-Hii kusahisha pepa ya essay ya maswali matano iliyofanywa na watu zaidi ya 1000 kwa siki moja na kutoa majibu huwa inaniacha mdomo wazi...
Ndio maaana naamini hzi pepa ni kama ku bet tu unaeza jaza vizuri na usifike pass mark
ππππHahhhhh mkuu umefanya nicheke sana kwahiyo ikawaje sasa?mimi niliwahi fannya interview moja nimepita kote niko na marks safi ila eti kwenye piki piki ikanishinda kuwasha na ninajua ku endesha simple tu.
Wanaita wote ili kusiwe na malalamiko ataeweza aende atakaeshindwa aacheNafasi 2 usaili watu 1000 wanaitwa huu utaratibu sijui wa wapi private hamna vitu hv
Akawa kakandwa prac[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh mkuu umefanya nicheke sana kwahiyo ikawaje sasa?
ππππ Interview mbaya sana afu kishatoka unajiuliza nimeshindwaje yani??Akawa kakandwa prac[emoji3][emoji3][emoji3]
π€£π€£π€£ aisee acha tu hii kitu ni kizungumkutiππππ Interview mbaya sana afu kishatoka unajiuliza nimeshindwaje yani??
Kuna siku niliingia Interview nikaulizwa swali mzee baba nikaanza kutiririka kufika katikati nikasahau nilikua najibu swali gani na maelezo yalikua ya ishu gani? πππππ€£π€£π€£ aisee acha tu hii kitu ni kizungumkuti
ππππhahhhh interview zinazinguaga sana aseehKuna siku niliingia Interview nikaulizwa swali mzee baba nikaanza kutiririka kufika katikati nikasahau nilikua najibu swali gani na maelezo yalikua ya ishu gani? ππππ
Mpaka leo nikikumbuka nabaki kucheka tu
ππππWaliniambia watanitafuta ila wakati natoka pale nilikua najua nimezingua
HahahahaKuna siku niliingia Interview nikaulizwa swali mzee baba nikaanza kutiririka kufika katikati nikasahau nilikua najibu swali gani na maelezo yalikua ya ishu gani? ππππ
Mpaka leo nikikumbuka nabaki kucheka tu