Imeisha hio.Acha t bro imeinikuta hii kitu majuzi...pepa multiple choice haimpimi mtu uelewa wake wala uzoefu wa kaz ndo hivyo aliedondoshea akaotea kapenya
Marks ni kipimo cha kujua vituKutokana na ukosefu wa ajira na wingi wa wasomi, imepelekea kua na mlundikano mkubwa wa wahitaji wa kazi kuliko uhitaji. Mathalani kada moja unaweza kuta nafasi moja lakini kuna waombaji zaidi ya 100.
Dogo fresh from school anakunyoosha vizuri na kupita oral huyoo anapata mchongo. Mfano nafasi kama hizi za Tutorial Assistant dogo katoka shule halafu hajawahi fanyia kazi field yake halafu anarudi tena kuzalisha wataalamu wengine hali ya kua yeye hajui chochote zaidi ya kusoma notes.
Sio constant inatofautiana kila mtihaniHivi pass mark ya kuingia oral ni ngapi?
Nimeuliza hivyo maana juzi kati nilifanya interview sehemu, nilipata 63.1, wawili wa juu walipata 74 kwa 72, waliitwa hao wawili pekee.Inakua 50 kwenda juu ingawa mkifaulu sana wanachukua waliofaulu zaidi.
Hata 90 mkuu, inategemeana na ufaulu wenu.Hivi pass mark ya kuingia oral ni ngapi?
Nikaongea na mhusika mmoja wa mahali hapo akasema, utumishi pass mark yao ni 70 na ikitokea hakuna aliyefikisha 70 inabidi nafasi itangazwe upya.
Maana mwenyewe nilishangaa, vyuo kibao wanachukua kwenda oral hadi wenye 50.Hapo ameongopa