Hello JF, nimeitwa written interview ijumaa tarehe 25/4/2014 kwenye bank tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu kuhusiana na hii bank kwa upande wa mishahara, namna wanavyowatreet wafanyakazi naomba msaada.
Hello JF, nimeitwa written interview ijumaa tarehe 25/4/2014 kwenye bank tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu kuhusiana na hii bank kwa upande wa mishahara, namna wanavyowatreet wafanyakazi naomba msaada.
Usiwe na haraka,wewe umeitwa written interview,unataka kujua mishahara ukiwa short listed utataka kujua nini?By the way mshahara wa mtu ni siri,hujataja post uliyoitiwa unaamini wote wanalipwa same amount regardless of experience?Piga interview ukienda kunegotiate ndiyo unaweza taka kujua salary scale,na mtu atakaye kupa jibu zuri ni anayefanya kazi pale.Humu JF mtu akikwambi wanalipa 1M,how do you prove anachosema ni kweli?Ukiwa hapo bank tafuta mtu mwulize mshahara wa hiyo position yako at least utapata pa kuanzia.