Mkuu hapa utapewa majibu mengi,ila ushauri wangu kwako,ni kuanza kujipanga kununua nyingine.Mimi yangu ilipata tatizo hilo tangu mwaka jana,nimteumia njia zote ninazozijua mimi,nimegoogle sana,humu JF nimepita,koote huko majibu ninayopewa nikiyatumia yote yameshindwa kutatua tatizo hili.
Kuna baadhi ya flash zikipata tatizo hilo huo ndio unakuwa mwisho wake..I'm talking from my experience..nimekutana na flash kama 4 hivi zenye tatizo kama hilo lkn hadi leo hazijapata solution..