Woyooo Demu wangu anarudi

Akirudi na yeye atajifanya muaraabu atataka kuolewa na muarabu koko wa k.koo....
wewe tafuta tu mwingine huyo si wako tena kama huamini nitumie namba yake nimdadisi kama kweli anataka kuolewa na wewe.
Ni kweli we culture gal au unatania?? Ngoja nkupm ufanye yako nijue mbivu na mbichi kabisaaa maana nisijepata tabu ahsante kwa ushirikiano utanipa majibu rejea basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…