UrbanGentleman JF-Expert Member Joined Jun 19, 2016 Posts 2,584 Reaction score 1,886 Jan 17, 2017 #1 Sijawahi acha kumkubali huyu jamaa sio siri umri umeenda lakini njia anazopita sio mchezo. Kwa ndugu zangu wa 90's wanaelewa vizuri kua namaanisha nini. Huyu jamaa anajua sana embu sikia alivyotambaa na uwezo wa Adele-hello.
Sijawahi acha kumkubali huyu jamaa sio siri umri umeenda lakini njia anazopita sio mchezo. Kwa ndugu zangu wa 90's wanaelewa vizuri kua namaanisha nini. Huyu jamaa anajua sana embu sikia alivyotambaa na uwezo wa Adele-hello.
MpiganiaUhuru JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 777 Reaction score 912 Jan 17, 2017 #2 Sawa, ni kweli.