Wow! Notepad Knew About 9/11/2001 !

Wow! Notepad Knew About 9/11/2001 !

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Notepad1.JPG

Amazing thing but true , Notepad knew about 9/11/2001 !
The flight number which hit the WTC in New York was Q33N !


See it yourself :1. Open Notepad
2. Type : Q33N3. Now, go to Format menu
4. Choose Font.
5. Now, change the size to '72'
6. Now, change the font to 'Wingdings'
7. See what is displayed !

Isn't it amazing !
 
mkuu mbona wadanganywa kirahisi hivyo?
 
Huu ni uongo wa wazi wazi ni sawa na ule watu wanasema papa ndiye mpinga kristo na kofia yake maandishi wakayatafsiri wanavyopenda wao ni sawa na magari ya polisi yana namba PT kuna wengine wanatafsiri wanavyopenda wao kavile PIGA TU na FFU fanya fujo uone nk.
 
inawezekana ni ya kutengeneza ila nilishawahi kujaribu katika microsoft office word ikatokea picha ya ndege ikikaribia majengo hayo mawili na mwisho ikatokea hiyo alama.

Ila kwa akili ya kawaida nadhani wameitengeneza hiyo picha kama kuna mwenye software za microsoft 2000 kurudi nyuma ajaribu hii kitu
 
hahaha hizo story bwana, zinafurahishaga sana.
Kuna watu wanaweza kucheza na akili yako mpaka ukaamini kuwa mwenyewe ni kichaa.
 
kwenye notepad++ ukifungua kwa mara ya kwanza utaona statement inayoongelea yule mhariri aliyeuwawa ufaransa kwamba ameonewa
 
Watu wanacheza na akili za wengine.... Afu ndege zenyewe zilizokua hijacked siku hiyo hata hamna yenye namba Q33N...
 
Back
Top Bottom