Wow! I love this Girl from Rwanda...

Wow! I love this Girl from Rwanda...

MAFIE JR

Senior Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
117
Reaction score
92
Hi all everywhere,
Kindly anyone knows this Girl send my message that I love her and I wish I could get her contacts

Anyone from Rwanda who know her try to connect for good will

From Tz
 
Attachments

  • IMG_20170920_194400.jpg
    IMG_20170920_194400.jpg
    24.7 KB · Views: 206
Weka namba yako ya simu iwe rahisi kukuunganisha nae
 
Akiwepo mtu mwenye connection aseme nimpe namba
huyo unayemtaka ameshaolewa na hiyo njema iliyokumbatia ngoja nikutafutie mwingine ile sampuli kama hiyo hapo maana me naenda sana Rwanda kwa mwaka Zaidi ya mara 4
 
For God sake huyo aliyepiga naye picha ni kaka ake kabisaaa...Huyo kaka ndo anaoa mwaka huu,na huyo dada aliyekuwa mchumba wake alifariki kwenye ile ajali,Hopefully atakuwa amekwishapata mbadala wake..Jaribu bahati yako mfate facebook anaitwa Sara Uwera jaribu kumuomba namba...Kila la kheri
 
hakuna kitu hapo.. mademu wa tz wazuri sana kupia huyo kwa asilimia kibao
 
For God sake huyo aliyepiga naye picha ni kaka ake kabisaaa...Huyo kaka ndo anaoa mwaka huu,na huyo dada aliyekuwa mchumba wake alifariki kwenye ile ajali,Hopefully atakuwa amekwishapata mbadala wake..Jaribu bahati yako mfate facebook anaitwa Sara Uwera jaribu kumuomba namba...Kila la kheri
Yeah nimejaribu kumfuatilia kwa karibu.. Uyo jamaa naambiwa ni pacha ake not mumewe...hata ukiitizama picha they look alike
 
For God sake huyo aliyepiga naye picha ni kaka ake kabisaaa...Huyo kaka ndo anaoa mwaka huu,na huyo dada aliyekuwa mchumba wake alifariki kwenye ile ajali,Hopefully atakuwa amekwishapata mbadala wake..Jaribu bahati yako mfate facebook anaitwa Sara Uwera jaribu kumuomba namba...Kila la kheri
Hahaa wanasema wabongo wape picha tu stori watatunga wenyewe....ona sasa watu wanavyofanya conclusion za ajabu
 
Kama "kadanganya" kwamba ni mtu na mkewe nahisi hata hilo jina Sarah uwera laweza kuwa la mkewe anataka kuniweka kwenye key
 
Si ndio huyu wameimba kwetu pazuri.....ama wanafanana fanana
 
Hahahahahahaha umejitahidi kiasi kidogo kuanza na hivyo ulivyoanza
 
Muimbaji was Ambassador choir.
Ni msabato pure.
Badili dini uwe msabato nikutumie namba yake.
Mi niko Kigali nasali naye
 
Back
Top Bottom