Would you marry me?


mlango tu?unaweza hata ombwa utoke eti ' nataka kuvaa'....mbav!!hebu pafanye chumbani kwetu pawe mahala natamani kuwepo kila wsakati,hata nikiwa kazini nipawaze!....eti heshima!! heshima chumbani!? tena mi na wewe tu!?...inashawishi maovu hii!!
 
mlango tu?unaweza hata ombwa utoke eti ' nataka kuvaa'....mbav!!hebu pafanye chumbani kwetu pawe mahala natamani kuwepo kila wsakati,hata nikiwa kazini nipawaze!....eti heshima!! heshima chumbani!? tena mi na wewe tu!?...inashawishi maovu hii!!

Hahahaa mlango unafungwa ili usiingie ukamkuta anavaa. . hehehehehe!!

Ehh jamani si nyie mnapenda kuheshimiwa? Kuheshimiwa kwenyewe ndio huko, unaruhusiwa kugusa na sio kuona.
 
Hahahaa mlango unafungwa ili usiingie ukamkuta anavaa. . hehehehehe!!

Ehh jamani si nyie mnapenda kuheshimiwa? Kuheshimiwa kwenyewe ndio huko, unaruhusiwa kugusa na sio kuona.

hivi wanawake wa hivi sijui hata huwa wanawaza nini!!lkuheshimiwa sio huku bana liz.kesho ukasikia nimechukua hela tuliyopanga kununulia bati nimeenda kupata experience ya pole dance kwenye strip club utaanza kulia!??lazima mwenendo uwe tofauti kulingana mmazingira.unakuta mtu anaingia kulala na mgauni wake wa kulalia mgumu kama turubai la Morogoro Canvas,wakati zipo alizonunuliwa zingeweza kuwa mfano!....sijui makusudi!??
 

Hahaha ni heshima bana.

Ili hiyo heshima ya chumbani isiwepo inabidi mkishaingia kwenye ndoa (maana ndio wengi hubadilika haswa baada ya kuzaa) uwe unamsifia na kumfanya ajue/aone kwamba bado anakuvutia hata kama tumbo limepambwa na stretch marks. Maana hua wanapoteza kujiamini kwa kuona kwamba hawana mvuto tena, sasa na wewe ukiwa unamwambia tu "siubadili hapo hapo, kwani nisochokijua nini" badala ya kumshawishi kwamba unataka kumuona lazima muanze kuheshimiana barazani mpaka chumbani. Na ndo hapo mambo ya kunyimana yanapoanzia. . .

Alafu kuhusu mavazi yale makubwa makubwa na magumu hua yanatumika kuficha kile wanachoona hakivutii tena kuonyeshwa. Kazi kuwaaminisha wenzenu kwamba bado wamo.
 

Thanks Lizzy and noted !
 
Jamani.... Jamani.....Jamani.... Mbona hivyo!

Mwenzenu sijaoa, mtanifanya nisioe kabisa ninaongopa hayo matatizo kwa sababu sipendi ugonvi, sipendi kumchukiza mwenzangu.
 
Hot topic
I think expectations, roles and responsibilities ndo may be zinatumika kutenga hayo makundi tajwaha
1. wakati wa ujana wengi wetu huwa tumegubikwa na mambo ambayo yanatupa furaha hata kama si ya msingi sana kwa maisha ya kifamilia kama starehe kwa mfano sasa wengi huwa tunaogopa kuingia maishani wa wapenzi wa ujana kwa hofu kwamba anaweza akaendeleza libeneke hata mkiwa kwa ndoa so hapo ndo hayo makundi huanza kutajwa na kupewa nafasi kwa maamuzi

2. Suala la mpenzi wako kubadilika na kuwa mke mtarajiwa ni gumu kubashiri kabla ya ndoa na ndo maana kwa bahati mbaya wanaume wengi hukaa na galfriend ilhali anajua fika hatamuoa wakati b dada akijua kuwa kwa kukaa muda mrefu ni dalili nzuri kwa ndoa.............mara katoswa....jamaa kampiga chini......kamchinjia baharini etc

3. Wanawake wengi if not all hupenda kuolewa na family man (familia kwanza) sasa akiwa na boyfriend lyfist huwa anafikiria sana kama huyu kweli atatunza familia kwa starehe hizi na utapanyajiwa fedha huu??? So naye atakula bata hapo na usishangae proposal ikawa denied as hataki mtu ambaye anaendekeza maisha ya nje kuliko uhalisia wenyewe

4. Kuolewa the way yu are is very possible lakini yu must b very kean kwenye recipe yako jua kuna wenye diabetese, hypertension na kadhalika.......I mean yu must strike a fine balance wakati wa boyfriend/galfriend relationship ili upate uchumba na mwisho ndoa

5. Sisi wote ni waoga kuumizwa kwenye mapenzi ndo maana kila mtu hataki kupata mcharuko wa ujanani bana.....as unaujua vema ukichaa wake n thus we all go for mild characters ambao tumewapa jina la husband or wife material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…