It depends!Would you keep your ex-lover's photos?
In most relationships, there is an ex-partner. However, if one is content with his or her current partner, why would they keep photographs of their former love-interest?
Tuambie Would you keep your ex-lover's photos?
mimi huzihifadhi kama kumbukumbu
Wewe mstaarabu sana mkuu wengine kwa hasira lazima wazichane chanekistaarabu si vyema kuendelea kuzitunza....mi enzi zangu nilikuwa nawarudishia kiroho safii na yeye ananipa zangu tunaachana kwa amani.
Unazo za wangapi so far?
kama 28 hivi
kuna mawili urafiki wenu ulikuwa na mda gani....
pia ulimpenda kutoka rohoni...real love the way she/he is
mmeachana kwenye mazingira gani tatizo nini??
kama unaona kiziweka kero mrudishie na yeye akupe zako
Wewe mstaarabu sana mkuu wengine kwa hasira lazima wazichane chane
Hahahaha umetisha mkuu...jamaa wa sasa akiziona anasemaje?
nimezihifadhi mahali salama pasipofikika na mtu