WOTE WEZI TU!

WOTE WEZI TU!

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
6,121
Reaction score
6,062
WOTE WEZI TU!
Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa kuna wizi wa kutisha, ili wazidi kujiimarisha na kubebana, lakini wizi hufanyika kwa siri kubwa na uko 'very CENTRALIZED' kiasi sisi kina kapuku hata chapa hatulambi na 'tunalazimishwa kuwa wanyonge muda wote ili mapambio yaendelee! ... mabilioni hupigwa wakati wa manunuzi yasiyo na udhibiti na wakati wa kuwaadabisha mbuzi wao wa kafara wanaowaita 'jina baya' la ufisadi au ukwepa kodi! ... WAOGOPE KAMA UKOMA!

Kundi la pili ni wale 'LIBERAL' wasoona haya kuonekana kuwa WANAKULA! ... hawa jamaa kweli wanatupiga ila, walao, na sisi kina kapuku huwa tunaambulia japo ya kuwapigia kiwi viatu vyao!

1756039579280.png
... safari hii kura zote kwa Kishimbe wa Kishimbe !

CHAGUA KAJIZI KAKUJUAKO! 😅
 
Back
Top Bottom