Tangu mpenzi wangu kupangiwa kazi ya ualimu Mpwapwa Dodoma hiyo mwezi wa pili nimekuwa mpweke kupita kiasi kwani hata mawasiliano yamepoa hadi nahisi kuibiwa penzi huko aliko.
Juzi kati nimetema madini kwa demu mmoja akakubali pamoja na ukweli nilimwambia kuwa mtu wangu yupo Dodoma nae akaniambia kuwa ana mtu wake.
Chakushangaza tangu tumeanza mahusiano nae amekuwa akinifatilia na kunihoji maswali mengi pindi simu yangu iwapo buzy.
Anahesabu kwaninini nampigia mara moja au mbili. Ukichelewa kujibu sms tatizo, sasa wadau hii ni halali kufuatiliwa kiasi hicho na mwanamke ambaye ana mtu wake?