Haaaaahhh watu tunapoteza stress zetu humu jf ujue!!!?
HahaaUsingizi wao ni kuanzia saa tisa alfajiri!mida hii wapo hoi lakini hawana jinsi inabidi waamke na uchovu wao wakasake tonge! Wana mateso mengi kwakweli
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao.
Wengi wana husika hapa ��������������������������msinipige mawe hamjuii nami niko wapi hapo.