Wote tuseme Amin......

Wote tuseme Amin......

Mnazua taharuki zisizo na ukweli Kuna Uzi mwaka Jana kipindi kile Cha more uzyshi ulitoka nilikuwa na buku 5 yangu nimeichimbia mahala nilivyoona huo Uzi nikaenda kununulia gongo yoote ajabu nilipoteza pesa main nikaunguza, kesho yake nikawa na hangover hatari alafu hamna kilichotokea
 
Back
Top Bottom