1. Kunywa soda isiyofunguliwa yote au kutoboa kizibo ili isiishe
2. kwenda kwa jirani kuangalia sinema za kihindi wenyewe wanajidai hapo wanaanza na kaeni chini,au anaenda kugusa deki kwamba ya moto tuzime tuipumzishe
3. saa saba mtaani ni sauti za wazazi kila mtoto akiitwa wee jeni weeeeeeeeee
4. sikukuu kununuliwa miwani ya plastic sh 100 au saa ya plastic au maputo
5. mtaani mnachanga hela mnafanya harusi
Haya mwenye anayoikumuka nyingine tujichangamshe sio kutwa serious issues