professoranonymous
Member
- Dec 23, 2013
- 10
- 0
watanzania sasa tuamke na kuacha tabia ya kujifariji wakati hali halisi ya taifa letu tunaijua,tuache kuishi maisha ya uongo( living a lie);kwani wanaofaidika kwa ujinga huo ni mafisadi wachache tu katika taifa hili, tukubali kuwa baba yetu ambaye tungeweza kulala usingizi na kumuamini aliishafariki na hivyo tatupasa kuamka wote na kuwajibika kwa ajili ya taifa letu wenyewe na siyo kuwaachia jukumu hilo wezi wachache kwani kwa kufanya hivyo imetugharimu na itatugharimu pakubwa sana.....soma na usave nakala yako, na umpe na mwenzio.