Mkuu makubazi, usishangae Hapo ni mwendo wa kili mixer nyagi ili ijibu maombi fasta kwa gharama ndogo na embassy kwa mbaliii, mwisho kabisa nakamatia ki-shamkupe kimoja pale pinpoint mikasi till down. Asubuhi naamkia supu kwa muromboo. Karibu uungane nami, utaipenda.