Wote hapa duniani ni wapitaji

Wote hapa duniani ni wapitaji

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,112
Reaction score
55,529
Hii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.

hakuna mtu hata mwenye miaka 150 tu hapa duniani. waongo tu hao. huyo kama hatakuwa 120, labda chini ya hapo.
 
Hii video imenifanya nitafakari, kweli hapa duniani tunapita; unaweza ukapambana ili uweze kuishi miaka mingi; lakini viungo vya mwili vikaendelea kuchoka na hatimaye kupoteza ufanisi wake, mfano macho, ngozi n.k na mwisho wa siku moyo kushindwa kufanya kazi yake na kupata umauti.

Tunaelekea wapi mkuu
 
Back
Top Bottom