Wakubwa wameenda Zanzubar kimya kimya na wakaamua kulizika Azimio la Arusha....
Siku zote huwa nasoma vitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha; nimesoma mara nyingi kitabu cha Azimio la Arusha, sijaona kipengele chochote ambacho kina kasoro...
Nimesoma katiba za vyama mbali mbali vya upinzani, sijaona chama makini zaidi ya Chadema ambacho ndiyo pekee nakiona kina dalili ya kuwakomboa wanyonge wa nchi hii.....
Maneno hayo aliyatamka Mwalimu Nyerere, mwaka 1995, baada ya uchaguzi mkuu, jambo linaloonyesha Mwalimu alikuwa akipewa maono na Mungu ya yale yatakayokuja baadaye hapa TZ
Nimesoma katiba za vyama mbali mbali vya upinzani, sijaona chama makini zaidi ya Chadema ambacho ndiyo pekee nakiona kina dalili ya kuwakomboa wanyonge wa nchi hii.....
Maneno hayo aliyatamka Mwalimu Nyerere, mwaka 1995, baada ya uchaguzi mkuu, jambo linaloonyesha Mwalimu alikuwa akipewa maono na Mungu ya yale yatakayokuja baadaye hapa TZ
ccm siyo mama yangu, ikiacha misingi yake ya kutetea wananchi wanyonge, naweza kuachna nayo.......
Naamini kama mwalimu nyerere angekuwa hai leo angeachana na ccm na kujiunga na cdm kutokana na ccm kuacha misingi yake ya kuwatetea wanyonge na kuwakumbatia mafisadi, hadi kufikia rais wa nchi akadiriki kutoa msamaha kwa majizi yaliyokwapua mabilioni ya epa kwa kuwaambia warejeshe tu hayo mabilioni waliyoiba ili soo iishe!!!
♥unawexa wewe ukawa mwaminifu kabisa lakini haitoshi inabidi uwe na uwezo wa kuwaambia rafiki na ndugu zako ikulu ni mahali patakatifu mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza pango la wala rushwa
♥Ikulu kuna biashara gani pale? ikulu ni mzigo mie nimekaa pale miaka 20 na mi5 ukiona mtu anakimbilia ikulu muogope kama ukoma.
♥serikali corrupt haikusanyi kodi itabaki kukimbizana na wafanya biashara ndogondogo na kukumbatia wenye mali.
Hivi hiki kipindi kipo??
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
tungeendelea kushonea nguo viraaka mpaka leo
"hakuna dhambi kubwa kama dhambi ya ubaguzi, ukishasema sisi na wao"
sent from my iphone using jamiiforums mobile app
Kipo TBC tu lakini wamechagua hotuba chache ambazo zinaipendelea ccm ndo wanazirudiarudia hizohizo kila siku. Hizo hotuba zilizonukuliwa na wadau hapo juu zimefichwa ukithubutu kukutwa nazo utaambiwa umemtukana Baba wataifa na watamwagiza kinana na nape wazunguke nchi mzima kwa kodi zetu kulaani nukuu za Baba wataifa.
Komaa hivyohivyo kamanda usiiangalie. Sasa imegeuka kuwa Tv ya CCM. Ukweli ndo huo.Sijawahi kuiangalia TBC toka inaitwa TVT