Wosia kwa wana ukawa na tanzania

Wosia kwa wana ukawa na tanzania

Wonderland Management

Senior Member
Joined
May 28, 2014
Posts
132
Reaction score
94
Mtu yeyote anaye onekana ana penda sana kwenda Ikulu Na yuko radhi hata kuhonga ili aingie Ikulu, ni Wa Kuogopa kama UKOMA. Ame zipata wapi hizo fedha. WaTanzania Hawa masikini hawa. Ikulu ni mahala patakatifu. Aliye kuambia Ikulu kuna biashara kule NANI??? Mna hangaika mpaka kuhama vyama, kujitia aibu, kupanda madaladala, kujazia mafuta na kuwa nunua madereva bodaboda. Yani WaTanzania Wa leo umasikini wao una tumiwa kama advantage ya mtu kuwa nunua ila wao hawa jijui. MNA itwa Upumbavu ni ile hali mtu una elezwa kuwa jambo Fulani baya ila wewe uka lifanya tena KWA ushabiki. WaTanzania Wa leo wana chagua kiongozi Wa nchi, AMRI JESHI Mkuu Wa majeshi KWA Ushabiki. Ina sikitisha sana. Ina sikitisha kuona mtanzania Wa leo ana tegemea wanasiasa ndio wamtoe kwenye umasikini. Ina sikitisha kuona mtanzania Wa leo ana tegemea mwanasiasa ndio amletee MAJI wakati wana weza kuji changisha mtaa waka chimba kisima au waka vuta MAJI. Ina sikitisha sana watu wana kimbia mashamba vijijini Na kuja mjini alafu vitu Viki panda bei wana iuliza Na kulaumu Serikali kwamba ime kuaje. WaTanzania Wa MWL. J. K. NYERERE wame enda wapi???
 
Miccm imebanwa hadi inakumbuka wosia wa baba kujifariji mbona mlikuwa hamzikumbuki?
 
Namna mpya ya uandishi hii, karibu UKAWA.

Inachosha hata kukujibu. Jitihada huwa zinafanywa iwapo mgonjwa bado anapumua, akikata moto jitihada ni za kuandaa mazishi. Ubongo wako ni sawa na mbegu iliyokufa, hata iwekewe mbolea na kumwagiwa maji mengi kiasi gani haitaota. Hopeless case!
 
Baada ya tarehe 25 mwezi Wa kumi tuta jua tu.
 
Nchi sio ya Baba ake hii mpaka useme lazima. Direct ume wadharau wapiga kura ambao wao ndio wana chagua nani awe Rais huwezi kulazimisha mtu.

Huko New York unakojinadi upo bila shaka unaishi kwenye dust bin

[h=2]Walimu wapinga kukatwa mshahara[/h]

By Waandishi wetu

1st October 2014

email.png

Email

printer.png

Print

Ezekiah%20Oluoch-September1-2014.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch

Wakati Ikulu ikikana Rais Jakaya Kikwete kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha, Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga walimu kukatwa mishahara kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari.

Katika tamko lake, CWT imewaonya wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kujiandaa kukabiliana na mkono wa sheria wasipositisha zoezi la kuwakata walimu mishahara yao kwa ajili hiyo na kuwataka kurejesha mara moja fedha zote walizozikata, kabla hawajadaiwa kuzirejesha na faida.

Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch, alisema hayo alipozungumza na NIPASHE baada ya kuulizwa msimamo wa chama chao kufuatia taarifa ya baadhi ya halmashauri kuwakata fedha walimu kwa ajili ya ujenzi wa maabara.

Alisema kwa mujibu wa Sheria ya Mahusiano Kazini ya Mwaka 2008, mwajiri haruhusiwi kukata mshahara wa mwajiriwa."Isipokuwa kwa ridhaa ya mwajiriwa au kwa matakwa ya kisheria kama vile amri ya mahakama," alisema.

Alisema anatoa salamu hizo kwa wakurugenzi wote baada ya kuwa amepata barua iliyoandikwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, ikiwaeleza kukata mishahara ya walimu.

Oluoch alisema barua hiyo ilielekeza walimu kukatwa kati ya Sh. 30,000 na 60,000 kutoka kwenye mishahara ya Septemba na Oktoba, mwaka huu, kwa ajili ya utekelezaji wa agizo la Rais la ujenzi wa maabara.

Alisema kwa mujibu wa barua hiyo, makato hayo yanafanyika ili kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete kwa wakurugenzi na wakuu wa wilaya la kuhakikisha wanajenga maabara katika shule zote za sekondari zilizo katika maeneo yao.

"Ndiyo maana baada ya kuipata barua hiyo tumepanga kwanza kuiandikia Ikulu, kwa Katibu Mkuu Kiongozi, ambaye ndiye mkuu wa utumishi serikalini ili kupata ukweli wa maagizo hayo ya kukata mishahara ya walimu," alisema Oluoch.
 
Mtu yeyote anaye onekana ana penda sana kwenda Ikulu Na yuko radhi hata kuhonga ili aingie Ikulu, ni Wa Kuogopa kama UKOMA. Ame zipata wapi hizo fedha. WaTanzania Hawa masikini hawa. Ikulu ni mahala patakatifu. Aliye kuambia Ikulu kuna biashara kule NANI??? Mna hangaika mpaka kuhama vyama, kujitia aibu, kupanda madaladala, kujazia mafuta na kuwa nunua madereva bodaboda. Yani WaTanzania Wa leo umasikini wao una tumiwa kama advantage ya mtu kuwa nunua ila wao hawa jijui. MNA itwa Upumbavu ni ile hali mtu una elezwa kuwa jambo Fulani baya ila wewe uka lifanya tena KWA ushabiki. WaTanzania Wa leo wana chagua kiongozi Wa nchi, AMRI JESHI Mkuu Wa majeshi KWA Ushabiki. Ina sikitisha sana. Ina sikitisha kuona mtanzania Wa leo ana tegemea wanasiasa ndio wamtoe kwenye umasikini. Ina sikitisha kuona mtanzania Wa leo ana tegemea mwanasiasa ndio amletee MAJI wakati wana weza kuji changisha mtaa waka chimba kisima au waka vuta MAJI. Ina sikitisha sana watu wana kimbia mashamba vijijini Na kuja mjini alafu vitu Viki panda bei wana iuliza Na kulaumu Serikali kwamba ime kuaje. WaTanzania Wa MWL. J. K. NYERERE wame enda wapi???

umejitahid kuelezea Lowassa ananunua uongozi lakin umeshindwa kutuambia pia na magufuli anaununua uongoz. au hujawaona slaa na lipumba walivyofikwa bei
 
Huko New York unakojinadi upo bila shaka unaishi kwenye dust bin

[h=2]Walimu wapinga kukatwa mshahara[/h]

By Waandishi wetu

1st October 2014

email.png

Email

printer.png

Print

Ezekiah%20Oluoch-September1-2014.jpg

Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch

Wakati Ikulu ikikana Rais Jakaya Kikwete kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha, Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimepinga walimu kukatwa mishahara kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari.

Katika tamko lake, CWT imewaonya wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kujiandaa kukabiliana na mkono wa sheria wasipositisha zoezi la kuwakata walimu mishahara yao kwa ajili hiyo na kuwataka kurejesha mara moja fedha zote walizozikata, kabla hawajadaiwa kuzirejesha na faida.

Naibu Katibu Mkuu wa CWT, Ezekiah Oluoch, alisema hayo alipozungumza na NIPASHE baada ya kuulizwa msimamo wa chama chao kufuatia taarifa ya baadhi ya halmashauri kuwakata fedha walimu kwa ajili ya ujenzi wa maabara.

Alisema kwa mujibu wa Sheria ya Mahusiano Kazini ya Mwaka 2008, mwajiri haruhusiwi kukata mshahara wa mwajiriwa.“Isipokuwa kwa ridhaa ya mwajiriwa au kwa matakwa ya kisheria kama vile amri ya mahakama,” alisema.

Alisema anatoa salamu hizo kwa wakurugenzi wote baada ya kuwa amepata barua iliyoandikwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, mkoani Dodoma, ikiwaeleza kukata mishahara ya walimu.

Oluoch alisema barua hiyo ilielekeza walimu kukatwa kati ya Sh. 30,000 na 60,000 kutoka kwenye mishahara ya Septemba na Oktoba, mwaka huu, kwa ajili ya utekelezaji wa agizo la Rais la ujenzi wa maabara.

Alisema kwa mujibu wa barua hiyo, makato hayo yanafanyika ili kutekeleza agizo la Rais Jakaya Kikwete kwa wakurugenzi na wakuu wa wilaya la kuhakikisha wanajenga maabara katika shule zote za sekondari zilizo katika maeneo yao.

“Ndiyo maana baada ya kuipata barua hiyo tumepanga kwanza kuiandikia Ikulu, kwa Katibu Mkuu Kiongozi, ambaye ndiye mkuu wa utumishi serikalini ili kupata ukweli wa maagizo hayo ya kukata mishahara ya walimu,” alisema Oluoch.

Ume dhihirisha kuwa hauko sawa.
 
Kwanza ujue ikulu siyo mahali PATAKATIFU MAANA IKULU SIYO NYUMBA YA IBADA YA KUMWABUDU MUNGU MTAKATIFU
MADILI YOTE YANAYOITEKETEZA NCHI LEO YAMETENGENEZWA IKULU.
CCM WANAHONGA ILI WAENDELEE KUBAKI IKULU,KURA ZA MAONI ZA CCM ZILIJAA RUSHWA.MMEMUHANGA DR SLAA ILI AWASAIDIE KUBAKI IKULU.MKE WAKE AMESEMA MMEWAPA PESA ZA KUJENGA SHULE NA HOSPITALI HAMNA AIBU WATANZANI WANATESEKA NA UMASKINI MNATUMIA MABILIONI KUMUHONGA MTU ILI AWASAIDIE,PROPAGANDA ZENYEWE ZIMEKWAMA MNA LAANA CCM

LOWASSA AMEZIDI KUPENDWA NA UKAWA IMEZIDI KUNG'ARA
 
Acha kulia lia mwisho wa kula na kulala bure huu hapa. Itabidi urudi kwenu
 
Mtu yeyote anaye onekana ana penda sana kwenda Ikulu Na yuko radhi hata kuhonga ili aingie Ikulu, ni Wa Kuogopa kama UKOMA. Ame zipata wapi hizo fedha. WaTanzania Hawa masikini hawa. Ikulu ni mahala patakatifu. Aliye kuambia Ikulu kuna biashara kule NANI??? Mna hangaika mpaka kuhama vyama, kujitia aibu, kupanda madaladala, kujazia mafuta na kuwa nunua madereva bodaboda. Yani WaTanzania Wa leo umasikini wao una tumiwa kama advantage ya mtu kuwa nunua ila wao hawa jijui. MNA itwa Upumbavu ni ile hali mtu una elezwa kuwa jambo Fulani baya ila wewe uka lifanya tena KWA ushabiki. WaTanzania Wa leo wana chagua kiongozi Wa nchi, AMRI JESHI Mkuu Wa majeshi KWA Ushabiki. Ina sikitisha sana. Ina sikitisha kuona mtanzania Wa leo ana tegemea wanasiasa ndio wamtoe kwenye umasikini. Ina sikitisha kuona mtanzania Wa leo ana tegemea mwanasiasa ndio amletee MAJI wakati wana weza kuji changisha mtaa waka chimba kisima au waka vuta MAJI. Ina sikitisha sana watu wana kimbia mashamba vijijini Na kuja mjini alafu vitu Viki panda bei wana iuliza Na kulaumu Serikali kwamba ime kuaje. WaTanzania Wa MWL. J. K. NYERERE wame enda wapi???

Kama tutajichangisha wananchi ili kupata huduma muhimu za kijamii, Nini kazi ya kodi tunazolipia kila siku?!

Elewa kwamba ni JUKUMU la serikali kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wake kutokana na fedha inayokusanya ikiwamo kodi zetu.

Haiwezekani kodi tulipe zikaliwe na wachache halafu tujichange tena wananchi ili tujipatie huduma za kijamii!

ACHA MAWAZO MGANDO! FUNGUKA!!

#mabadiliko tu ndo dawa!
 
Kwanza ujue ikulu siyo mahali patakatifu

pili wanahonga ili wabaki ikulu ni ccm ambao kura zao za maoni zilijaa rushwa na bado wamemuhonga

dr slaa, mke wake kasema amepewa pesa za kujenga shule na hospitali.

Halafu mmepoteza pesa zenu bure watu wanazidi kumpenda lowassa na ukawa

Una onaje ukaja kuisaidia Takukuru KWA maelezo ya kina juu ya ulicho sema?
 
Back
Top Bottom