Wosia kwa mabinti

Wosia kwa mabinti

Sijajuaga tatizo ni nini,yaani mdada unakuta anajiachia anagawa hadi basi,na wanaume tulivyo,yaani mdada mrahisi,ni wakupozea hamu,halafu,tukitaka kuoa,tunatafuta ambaye ana tabia njema,hatakama mdada kashika mimba yangu,simuoi ng'oo,ntaoa mwenye tabia njema.
Akina dada wengi hawajielewagi,sijui malezi.....?
Unamwambia mtu,nimekukuta hauko sealed,tulia nikuoe,achana na maex wako wote,lakini mtu huku anataka kuolewa,huku maex wake kama 20,wanamtumia kama kipozeo,tena unakuta wengine walishaoa kabisa,unamuuliza,hivi umewahi kukaa chini ukajiuliza kwanini hao maex wako hawakukuoa,anabaki hana jibu,halafu eti anataka kuolewa,waaapiiii....,sioi mtu mimi,ntaoa mdada anayejielewa,namimi nataka niwe napozea hamu zangu kama maex wake,wanawake wengine wajinga sana.
 
Mungu alijua Hilo mda mrefu Sana ndo maana yesu hakuwa na mitume wa kike
 
Yaani mpaka unajiuliza hivi wamerogwa?
 
Mkuu Akilinjema, id yako hakika unaitendea haki[emoji120]

mimi nashauri mleta mada angetoa wosia kwa wazazi wenye "mabinti"
maana humu kuna mabinti wawili tu!
[emoji3]

pia nashauri; mleta mada siku nyingine tuletee uzi wa "bikira", wala usiogope povu tutakusaidia kulifulia majacket.

unajua bhana, ikiwa bikira ingepewa thamani kubwa ktk kizazi hiki, hawa single mothers wangekuwa wachache sana, yaani "wachache" ambao pia wangekuwepo kwa "bahati mbaya"[emoji4]

bikra na iheshimiwe sana ...hapa watanielewa wachache lakni ndo hvyo[emoji119]
 
Nanyenyekea @ Mr. Gadaffi [emoji120]

Utukufu kwa Bwana Mungu alonijalia hizo akili njema.

Tupo pamoja mwaya.
 
Back
Top Bottom