Unaonekana huna unachojua katika kuishi kwako hapa tanzania.Uhuni aliofanya Muhongo leo hata Mimi niliwahi kuufanya pale Vwawa, nilimpiga jamaa nikamtoa manundu halafu nikakimbia fasta kwenda kushtaki polisi. Jamaa alipopata nguvu na kwenda kushtaki akakuta tayari askari wanajipanga kwenda kumkamata. Ndio ya Muhongo leo, alijua fika kuwa anapigwa chini na mawaziri wapya wameitwa kuapishwa, akawahi kuitisha press conference kabla ya muda wa Ikulu kuzuga kuwa amejiuzuru. Tujiulize, je asingejiuzuru angebakia kwenye baraza jipya? Je hao mawaziri wapya walioapishwa walipewa notice ya masaa manne kati ya kujiuzuru Muhongo na kuapishwa kwao?
Cv ya muhongo itaendelea kuwa juu na kazi yake ya kutukuka itakuwa palepale.
Kujiuzulu kwa Prof.Muhongo ni pigo kubwa sana kwa wapenda maendeleo.
Cv ya muhongo itaendelea kuwa juu na kazi yake ya kutukuka itakuwa palepale.
Upo sahihi kabisa. Lakini sisi tumbili kawaida yetu kuibiwa tu. Mbona dhahabu imechimbwa na kuondoka hatujafaidi lolote sana sana wazawa wamefukuzwa kwenda sehemu za mashamba yao kupisha uchimbaji, wengine wameuwawa na wengine wanakunywa maji ya sumu (mercury) lakini Muhongo hajafanya kitu hapo. anakuwa na uchungu wa mafuta na gesi wakati rasilimai nyingine inaondoka yupo yupo tu. Hao aliokuwa anawapata mikataba ya gesi ndiyo hao hao walikuwa wanachimba dahabu.
Muhongo alitaka kuwamilikisha gesi yote watu wa nje leo baada ya kung'oka ndo anasema gesi iwanufaishe wachache akina nani, afadhali iwanufaishe wachache wazawa kuliko wachache kutoka ughaibuni
Muhogo tutakukumba daima
Yes, ni kweli tutamkumbuka kwa kuwa Prof mbabaishaji anayetegemea majivuno na hisia binafsi kwenye mambo ya kitaifa. Lakini hatimaye alidhalilika.
Utakufa njaa sijui utakula wapi mumeo ameshakufuzwa leoKujiuzulu kwa Prof.Muhongo ni pigo kubwa sana kwa wapenda maendeleo.