Ha ha ha ha!! huu uzi bana nimeupenda sana, unanikumbusha siku moja pande za wapi hizo bana, mbagala charambeeeeeeeeeee mtoto ndani ya nissan hard body double cabin, kikazi zaidi na ina nembo kibao za kampuni, basi nikasema ngoja nistue thupu kidogo
aaaaaaaah kwa raha zangu, lete kuku kidali, chapati 2 na ndimu ya kutosha, si unajua jana yake nilikuwa nimelala promo so inabidi kuweka zege murua. mara heeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyaaaaaaaaaaaa toto likaingia bana, **** **** haswaaaa, mtoto kala jeans limemkaa, juu katupia top kali mbayaa,
kijana nikaona isiwe ishu, basi wakati muhudumu anamfuata nikamwita na kumwambia namuomba mezani kwangu kama hatajali!!!! bi dada bana hakuwa na hiana, kwa mwendo wa paka, wathungu wanaita "cat walk" huyo akatinga kwa meza. mi aaaaaah swadapta, agiza unachijisikia bi dada, ruksa vikali, baridi, jikoni au nini
mara haya, kuna kongoro? muhudumu "zipo!!" bi dada yuko naomba kongoro 2, chapati 2, nikaona mh kazi imeanza. Nikamkolezea, na kinywaji wakuletee nini??! bi dada yuko, naomba Guiness ya baridi na Konyagi ndogo!!
Ha ha ha, mwanaume macho kodooooo, guess kilichofuata
I just paid the bill and had an excuse