lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!
Niajeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ujue bana First dates zinakuwaga nzito sana kwa watu wengi, especially kwetu Uswazii huku sababu you show who you realy are from day 1, thats courrage and honour! Wenyewe tunasema Be your self, no body should put you down! We are proud of who we are! Sasa tukikutana na Tour Drive guys hapo ndo ya kale yanapokutana na ya sasa!
My Worst (Not worst of the worst) ila inaniumaga mpaka kesho kutwa! Bana weee! It was way back in the days! Enzi za uniform, basi bwana hapo exposure 0 kabisaa, watu bado hawajaanza kwenda Dubai na Us waje watutoe ushamba kidogo. I met this chalii shuleni bwana, sasa kiskonga mtu unaweza kumuona normal ila kwao Nomerrrrrr!!! Au ukamuona noumerrrr kumbe kawaida sanaaa!!!! Basi akanialika dinner hotelini, Mi nikajilipua na nguo zangu za kicheckbob, jeans na topu chini sandals! Mi nikajua sisi wawili tu! Kufika bwana weeeee! Family dinner, watu na familia zao! Isingukuwa wameniona ningepiga Uturn! They were way outta my league!!!! Hawakua harsh ila they had style n class, kujishaua sasa, french wine wanazipronounce exactly, english slang, glass inashikwa na vidole, kuku analiwa kwa umma!!!! Mijicho ilinitoka kama mjusi kabanwa na mlango!!!! Aisee nilitesekaje sasa, ila nilikomaaa mwanzo mwisho. Chezea quick leaner!!!!! Kingereza cha kibongo, mda wote kimyaaa, nimebaki Yes! No! Ofcourse! masaa 3 niliona kama siku! Ilinibidi nimuombe yule bwana asiniseme shule maakeee!!!!! Na anifundishe civilization kidogo! Sitosahau!!!!!!!!
My bros worst experience!!!! Kuna kidada kiliamia kitaa toka arusha, kidogodogo, portable ukikiona kipoleee! Basi akakiibukia wakapanga wakutane bar! (Mtaani kwetu hatuna gharama mwanaume kama unamtaka humzungushiii/ kumkomoa) Kufika yeye kaagiza castle ya wasomi, bi dada Safari Lager! Mmmmh! Akaona ngoja aone mwishowe! Yeye 3 mwenzie tano, mkavuuuu! Jicho kodooo! Kufika ya 5 network zinakatika katika mwenzie gado!!!! Mwishowe akzima kabisaaa! Bi dada kamkokota kamrudisha hadi home, huyo kaondoka!!!!! Aibu yake kesho asubuhi kidogo ahame nyumba!!! Kama pombe usiwezi achaaa, mambo gani ya kukokotwa na kidada! LOLEST!!! Hakumtongoza tenaaa! Kashika adabu yake ikamshika!
WHAT WAS YOUR WORST EXPERIANCE!!!!!?