World's most powerful man

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
49456759.cached.jpg
 
Obama ndie raisi mdhaifu/weak in history of america-trump comment.
 
...Subiri kuanzia tar 20 utamjua
Labda hivyo
Lakini mpaka sasa hakuna alichofanya mpaka awe regarded kuwa mmoja ya powerful man

Labda tweets zake ,tusubir kuanzia hiyo 20 ndio tutajua nguvu zake au porojo..
 
Putin is the most powerful man for two years in a raw. Kile kichwa ni level nyingine. Obama ni dhaifu na Putin amem-outsmart Obana katika ishu nyingi tu za kimataifa kwa hii miaka miwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom