Tree house ni nyumba zinajengwa kwenye miti,,, ni common kwa wazungu wanawajengea watoto wao kama play houses nje ya nyumba although kuna watu wazima pia wanaishi kwenye tree houses (adventurous people),, sasa huyo kajenga the largest tree house in the world!Sijaelewa kabisa