Halipiti kwenye barabara za kawaida likienda kazini? Nina hofu na miundo mbinu kwa uzito huo. Kwa kwetu nahisi ni bora lisije coz zile boti zilizoenda Mwanza kipindi kile zilizua balaa, hili si ndio itakuwa zaidi? unless lisafirishwe vipande vipande. Hata hivyo tuna uzoefu zaidi wa kuchimbia mabeleshi, hili litatucheleweshea utendaji kazi.......