World's biggest construction vehicle

Monstgala

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
1,079
1,034
biggest_construction_vehicles_3.jpg

Hili monster lenye uzito wa tani 13,500 linauwezo wa kuchimba kina cha futi 90 kwenye eneo sawa na uwanja wa mpira kwa masaa 8!
 
lini tutakluwa na kitu kama hicho bongo?

Miaka 300 ijayo

Haahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Inaweza kuwa hata 4x that yaani bongo 2po like 1500yrs behind modern technology inackitisha sana hii yote ni sababu ya mfumo mbovu wa elimu.
 
Halipiti kwenye barabara za kawaida likienda kazini? Nina hofu na miundo mbinu kwa uzito huo. Kwa kwetu nahisi ni bora lisije coz zile boti zilizoenda Mwanza kipindi kile zilizua balaa, hili si ndio itakuwa zaidi? unless lisafirishwe vipande vipande. Hata hivyo tuna uzoefu zaidi wa kuchimbia mabeleshi, hili litatucheleweshea utendaji kazi.......
 
Yaani dude niliona linavyotembea ni issue linaenda taratibu kutoka site 1 mpaka nyingine,maengineer wanazunguka kila kona kuona kama kuna tatizo,ni kazi kwa cku 1 linaweza kutembea kama mt 10 tu acha.
 
Halipiti kwenye barabara za kawaida likienda kazini? Nina hofu na miundo mbinu kwa uzito huo. Kwa kwetu nahisi ni bora lisije coz zile boti zilizoenda Mwanza kipindi kile zilizua balaa, hili si ndio itakuwa zaidi? unless lisafirishwe vipande vipande. Hata hivyo tuna uzoefu zaidi wa kuchimbia mabeleshi, hili litatucheleweshea utendaji kazi.......

Lisije tu maana tutauana.

Lakini pia litaondoa deal za wachimba mashimo ya vyoo kwa beleshi na sururu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom