thatonegAl JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 825 Reaction score 1,886 Oct 5, 2013 #61 Uwiiiiiiiiiiiiiiii,wale warembo namba 9 tupo????????????
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Oct 5, 2013 #62 kabanga said: ahaaaa .... Click to expand... kaka kwa nini unashangaa?
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,831 Reaction score 23,640 Oct 6, 2013 #63 mimi49 said: Ha ha ha hapa si bure..sentesi hii inanipa utata... Click to expand... Unafkiriii?? Mwanamke mwenye kashepu kazuri ana raha yake kumuangalia. Hajakosea yule aliesema neema za Allah.
mimi49 said: Ha ha ha hapa si bure..sentesi hii inanipa utata... Click to expand... Unafkiriii?? Mwanamke mwenye kashepu kazuri ana raha yake kumuangalia. Hajakosea yule aliesema neema za Allah.
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Oct 6, 2013 #64 Lady doctor said: halafu wachina wana sura mbaya, shepu ovyo bora hata wahindi wamejaaliwa sura nzuri Click to expand... hahahahaha...ila bado wanawapenzi na wanapedwa
Lady doctor said: halafu wachina wana sura mbaya, shepu ovyo bora hata wahindi wamejaaliwa sura nzuri Click to expand... hahahahaha...ila bado wanawapenzi na wanapedwa
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Oct 6, 2013 #65 Mapi said: hahahahaha...ila bado wanawapenzi na wanapedwa Click to expand... unajua nini Mapi? wachina sio kama wabongo wanaaangalia sura na mahaga, wao hawahangaiki kabisa na hiyo makitu wao wanaaangalia mashine ya pale kati tu bhaaasi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mapi said: hahahahaha...ila bado wanawapenzi na wanapedwa Click to expand... unajua nini Mapi? wachina sio kama wabongo wanaaangalia sura na mahaga, wao hawahangaiki kabisa na hiyo makitu wao wanaaangalia mashine ya pale kati tu bhaaasi!
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Oct 6, 2013 #66 Angel Nylon said: Unafkiriii?? Mwanamke mwenye kashepu kazuri ana raha yake kumuangalia. Hajakosea yule aliesema neema za Allah. Click to expand... Sawa ngoja nami nizitazame hizo neema za allah...
Angel Nylon said: Unafkiriii?? Mwanamke mwenye kashepu kazuri ana raha yake kumuangalia. Hajakosea yule aliesema neema za Allah. Click to expand... Sawa ngoja nami nizitazame hizo neema za allah...
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Oct 7, 2013 #67 KOKUTONA said: kaka kwa nini unashangaa? Click to expand... dunia ina mambo hii dada!
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 Oct 7, 2013 #68 kabanga said: dunia ina mambo hii dada! Click to expand... Acha kabisaaa!!