jax fikrini
Member
- Nov 8, 2012
- 46
- 6
Taipata wapi hiyo movie ni download coz nimeenda youtube zipo trailer tu,full iliyopo sio yenyewe! Msaada jamani.
Angalia kwa popular Torrent Websites
haijatoka bado sasa hivi kuna cam version tu. bado ts, dvdsrc ndo ije dvdrip au bluray utayoweza kuangalia vizuri
nenda viooz.co but lazma uwe na IDM
Ni kweli mkuu bado haijatoka, Nimemuwekea CAM version huyu ndugu yetu. Unajua kwa sisi wadau wa movies huwa tunaanzaga na hizi cam sababu huwa hatunaga sana uvumilivu wa kusubiri DVDrip au BRrip.
Ahsanteni ndugu zangu,nimefanikiwa nilicho kuwa nataka. Mungu awaongezee mautundu zaidi:thumbup:
Ni kweli mkuu bado haijatoka, Nimemuwekea CAM version huyu ndugu yetu. Unajua kwa sisi wadau wa movies huwa tunaanzaga na hizi cam sababu huwa hatunaga sana uvumilivu wa kusubiri DVDrip au BRrip.