Bariki Mandele
Member
- Jul 28, 2015
- 38
- 13
Job Vacancy > Teachers
Location > Dar Es Salaam
Position Type > Full Time
The World Staffing Project
Application Deadline: 23 Jul 2016
TEACHERS POSITION DESCRIPTION:
The World Staffing Program ni mpango ulio anzishwa kwa lengo la kuandaa na kutoa ajira za muda mfupi na ajira za muda mrefu (Permanent and Temporary Staffing) kwa Watanzania wanaokidhi vigezo.
Lengo la The Word Staffing Project (TWSP) ni kuchukuwa nafazi za ajira kwenye makampuni, mashirika na taasisi za kiserikali, binafsi na za kidini katika mikoa yote ya Tanzania na kutoa kwa watainiwa wanaokidhi vigezo ambao watakuwa ni wanachama wa The Word Staffing Project (TWSP).
Kwa watakao jiunga na The Word Staffing Project (TWSP) wakiwa bado ni wanafunzi wa vyuo vikuu watatakiwa kujiunga na The Word Staffing Project (TWSP) kwa kutoa taarifa kulingana na mkoa anaotoka au kama anahitaji kupangiwa ajira kwenye mkoa tofauti na mkoa wake atatakiwa kutuma maombi maalum wakiambatanisha na vithibitisho kwaajili ya kubadilisha taarifa zake na kupangwa kwenye mkoa husika.
The Word Staffing Project (TWSP) licha ya kuwa na mpango wa kutoa ajira za muda mrefu na ajira za muda mfupi (Permanent and Temporary Staffing), ina mipango mingine kwa wanachama ambao bado hawajamaliza masomo yao au kwa waliomaliza masomo yao ila hawapo tayari kuajiriwa.
APPLICATION INSTRUCTIONS:
Hatua ya kwanza.
Tuma CV pamoja na namba ya mtihani (Index Number) ya form four, Form six, certificate, diploma pamoja na namba ya kitambulisho cha mpiga kura kupitia kitufe cha APPLY NOW apo chini
Hatua ya pili
TWSP itapitia maombi yako kwa kuhakiki matokeo yako kutoka kwa examiners (NACTE,TCU na chuo ulichosoma)
Hatua ya tatu
Baada ya TWSP kupitia maombi yako na kuonekana kuwa unakidhi vigezo, utatumiwa fomu za kujaza na kuambatanisha vivuli vya vyeti na orodha ya wadhamini wasiopungua watano.
Hatua ya nne.
Saini mkataba wa ajira na TWSP pamoja na kukabidhi vivuli vya vyeti na CV
Gharama za uanachama ni 30,000/- kwa mwaka na ambatanisha risiti ya benki kwenye CV.
Hatua ya tano.
Hudhuria mafunzo mafupi pamoja na usaili.
Hatua ya sita.
Anza kazi. TWSP itakupangia kazi kutokana na kiwango chako cha elimu na asilimia 10 ya mshahara wako itakatwa kila mwezi kwenda TWSP.