LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jan 22, 2014 #21 Wachaga hawafanyi utani kabisaaa...
H hydrogen JF-Expert Member Joined Nov 12, 2012 Posts 994 Reaction score 695 Feb 1, 2014 #22 Mimtamu said: AIPORT??.. Kweli bado sana Click to expand... its clear to me that was a typing error, but if that's what gives you orgasm, then hell... fire away!!!
Mimtamu said: AIPORT??.. Kweli bado sana Click to expand... its clear to me that was a typing error, but if that's what gives you orgasm, then hell... fire away!!!
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,156 Reaction score 75,630 Feb 1, 2014 #23 Tukiacha mamabo ya kuficha pesa nje ya nchi haya ya kuwa na uwanja wa ndege mzuri na wenye hadhi inawezekana sana
Tukiacha mamabo ya kuficha pesa nje ya nchi haya ya kuwa na uwanja wa ndege mzuri na wenye hadhi inawezekana sana
H hydrogen JF-Expert Member Joined Nov 12, 2012 Posts 994 Reaction score 695 Feb 1, 2014 #24 Gefu said: ...mi nimezipenda sana za kibongo,ziko natural... Click to expand... inaonekana hujui maana ya natural!
Gefu said: ...mi nimezipenda sana za kibongo,ziko natural... Click to expand... inaonekana hujui maana ya natural!
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Feb 1, 2014 #25 Wamarekani noumer...!
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Feb 1, 2014 #26 LexAid said: Wachaga hawafanyi utani kabisaaa... Click to expand... Kwaiyo wachaga ndio wamejenga huo uwanja! Labda ule pale Moshi..tuwekee picha ya Moshi Airport
LexAid said: Wachaga hawafanyi utani kabisaaa... Click to expand... Kwaiyo wachaga ndio wamejenga huo uwanja! Labda ule pale Moshi..tuwekee picha ya Moshi Airport
marregal Member Joined May 8, 2011 Posts 77 Reaction score 16 Feb 1, 2014 #27 hata tukikopa WB bado haitafikia huko maana viongozi wetu wanapenda chajuu saana na ndo tabia yetu wa TZ
hata tukikopa WB bado haitafikia huko maana viongozi wetu wanapenda chajuu saana na ndo tabia yetu wa TZ
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Feb 3, 2014 #28 Ndakilawe said: Kwaiyo wachaga ndio wamejenga huo uwanja! Labda ule pale Moshi..tuwekee picha ya Moshi Airport Click to expand... 'Kilimanjaro International Airport' - Jibu unalo mkuu. Mbona unataka ubishi usio na maana? Tuige mifano mizuri ili kupata maendeleo. Wewe utang'ang'ana na ubishi wako mpaka lili? Utabakia hivyo hivyo na ndio sababu huko sumbawanga zinatua Ungo tuu!
Ndakilawe said: Kwaiyo wachaga ndio wamejenga huo uwanja! Labda ule pale Moshi..tuwekee picha ya Moshi Airport Click to expand... 'Kilimanjaro International Airport' - Jibu unalo mkuu. Mbona unataka ubishi usio na maana? Tuige mifano mizuri ili kupata maendeleo. Wewe utang'ang'ana na ubishi wako mpaka lili? Utabakia hivyo hivyo na ndio sababu huko sumbawanga zinatua Ungo tuu!