1; Mtu mjanja anapambana ili kuyashinda matatizo, lakini mtu mwenye akili huyaepuka. _Albert Eisten
2; Napenda kutembea kwenye mvua kwa sababu hakuna atakayeniona nikiwa nalia. _Charlie Chaplin
3; Unapoongea, unakua unarudia kutamka kile ambacho unakijua, lakini unaposikiliza, unajifunza kitu kipya. _Dalai Lama
4; Ukitaka kwenda haraka nenda mwenyewe, ila ukitaka kwenda mbali nenda na watu_
5; Washindi hushinda kwanza ndipo wanaenda vitani, wanaoshindwa huenda vitani ili kuutafuta ushindi. _Napoleon Bornapate
6; Usiombe ili upate maisha marahisi, omba upate nguvu na uwezo wa kupambana na maisha magumu. _Bruce Lee
7;Kama haufanyi unachokipenda, unapoteza muda. _Albert Eisten
8; Siku moja utaamka na kuanza kujuta kwa kushindwa kufanya vitu ambavyo unatamani na unaweza kuvifanya sasa. _Paulo Coelho
9;Inahitajika nguvu ya ziada kuweza kufanya vitu ambavyo vinaonekana ni vya hatari, la sivyo mapenzi yanakutosha kuona umefanya na umepata kila kitu. _Charlie Chaplin
10; Anguka mara saba, ya nane unyanyuke.By me