World largest deal in cashew nut trading history

World largest deal in cashew nut trading history

Ambayo siyo fake Ni Ile aliyosema MH Wazir wa kilimo juzi kwamba serikali inadaiwa bil 105 na wakulima wa korosho..Ina quotes kila sehem na vyombo vya habari vimeireport..hii ya kwako ya greatest trade ever Kama Sio propaganda na fake unaweza kutwambia umeiquote wap?????

Mbona husemi kwamba serikali imelipa bil 600 na ushee? Yaani hiyo less than 15% ndio umeona chapio? Grow up!
 
Habari nzuri sana. Tufahamishwe sasa kwa kilo moja ya korosho ghafi ni $ ngapi ili tulinganishe na bei aliyolipwa mkulima wa korosho.

Ili iwe nini? Who the hell is you?
 
WORLD LARGEST DEAL IN CASHEW NUT TRADING HISTORY

''T&T Group officially signed a contract to buy 176,000 tons of Tanzanian raw cashew in the 2018 season with representatives of the Tanzanian Government. This is the largest crude cashew purchase contract in the history of the world cashew industry ever since. On July 30, 2019 in Tanzania, witnessed by many senior officials in the Tanzanian Government, representing the Group. T&T Group officially signed a contract to buy 176,000 tons of Tanzanian raw cashew in the 2018 season with representatives of the Tanzanian Government. This is the largest raw cashew purchase contract in the history of the world cashew industry ever.
Na hii habari je?
T&T Group of Vietnam pledges to buy Guinea Bissau’s raw cashew
7th August, 2018

Under a memorandum of understanding on agribusiness signed in Hanoi yesterday between T&T Group of Vietnam and Guinea Bissau , T&T Group pledged to import raw cashew nuts from Guinea Bissau with an annual volume of 150,000-200,000 tons in 2018 and next years.

cashewnut.jpg


In the framework of Vietnam’s visit, mission team of Guinea Bissau led by Minister of Trade, Tourism and Handicrafts Vicente Fernandes, the team had a working session with T&T Group yesterday in Hanoi

Vietnam agreed to buy 150,000-200,000 tons annually which is equivalent to Guinea Bissau’s annual raw cashew. At present, Guinea Bissau ranks the fifth largest raw cashew nut producer in the world.

At the working session, the Guinea Bissau government is committed to ensuring output, quality, delivery deadlines and payment channels.

Also, the two sides exchanged the possibility of exporting Vietnamese rice to Guinea Bissau’s market in the years to come.

Source: T&T Group of Vietnam pledges to buy Guinea Bissau’s raw ...
 
Yes! As you have just said, it's my duty to confirm the authenticity of your rubbish tale.

You can call it whatever you like, but the truth will remain to be the truth.
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Chadema huwakuti hapa,wanaomba korosho zidode,hii ni habari mbaya sana kwa chadema
 
Tutegemee mengi mengine kutoka Vietnam.


Ahsante Kikwete kwa hili deal la kihistoria.

Wachache tunafahamu kazi kubwa uliyoifanya kwenye hili.
 
Nimejaribu kupapasa papasa na elimu yangu ya Shule ya Kata sijaona hizo tani 176k zimenunuliwa kwa shiling ngap.

Ile ya "propesa" Kabudi tuliambiwa na thamani.
WORLD LARGEST DEAL IN CASHEW NUT TRADING HISTORY

''T&T Group officially signed a contract to buy 176,000 tons of Tanzanian raw cashew in the 2018 season with representatives of the Tanzanian Government. This is the largest crude cashew purchase contract in the history of the world cashew industry ever since. On July 30, 2019 in Tanzania, witnessed by many senior officials in the Tanzanian Government, representing the Group. T&T Group officially signed a contract to buy 176,000 tons of Tanzanian raw cashew in the 2018 season with representatives of the Tanzanian Government. This is the largest raw cashew purchase contract in the history of the world cashew industry ever.

This contract to purchase seeds is signed between T&T Group and Tanzania’s Grain and Other Products Association (CPB). Accordingly, T&T Group has agreed to buy 176,000 tons of raw cashew in 2018 season in a total of 210,000 tons of raw cashew that the Tanzania Government has bought reserves from farmers.

The president of Tanzania directly directed, requiring the Ministry of Justice of Tanzania to censor and ratify it, as it was a major dynamic cooperation with Tanzania’s agricultural sector. The contract to sell raw cashew to Tanzania’s T&T Group not only affects Tanzania’s export revenue but also affects most cashew importers globally. Earlier, the Tanzanian Government tried very hard to find partners to buy the above batches of raw cashew nuts from India, Singapore, China, Kenya … but failed to reach agreement on selling prices.

In order to come to an agreement to buy this historical raw cashew nut, T&T Group has sent experienced experts in the field, directly taking samples and inspecting all 11 cashew clusters of the Tanzanian Government. . Test results show that all the cashew nuts are very well preserved, ensuring both quality and quantity. It is expected that the first raw cashew shipments from Tanzania will return to Vietnam in September this year.

As a country that imports raw cashew nuts as well as the largest export of cashew nuts in the world, Vietnam almost plays a coordinating role, bridging the construction of the global value chain for the cashew industry that is still fragmented. among countries that provide raw cashew (Ivory Coast, Nigeria, Mozambique, Benin …), processing countries (Vietnam, India) and consumer markets.

Recently, the market survey data show that Vietnam produces and imports about 1.6 million tons of raw cashew per year, of which domestic supply cannot meet 25% of the actual capacity. Severe raw material shortage for Vietnamese cashew businesses. The majority of raw materials still depend on imports from African countries. T&T Group signed a contract to buy and buy raw cashew not only this time, not only brought a plentiful source of raw materials for the domestic cashew industry, but also continued to strengthen the position of Vietnam as a raw cashew importer and export of large cashew nuts. most in the world, accounting for 60% of global production (according to the Vietnam Cashew Association — Vinacas).

Tanzania is an East African country, located in the southern hemisphere, providing 75% of raw cashew production in East Africa, an estimated 250,000 tons of raw cashew annually. The contract to purchase raw cashew nuts in Tanzania this time is within the framework of T&T Group’s long-term cashew nut production and trading project, following two traditional markets in West Africa, Ivory Coast and Guinea Bissau.

As of August 2019, T&T Group has supplied Vietnam with 20,000 tons of raw cashew goods from Ivory Coast and 24,000 tons of raw cashew from Guinea Bissau. Overall 176,000 tons of raw cashew from Tanzania will increase the total supply to 220,000 tons, estimated to account for 15% of the raw cashew imported from abroad of Vietnam, which is mainly imported from Africa.''

Mwenye macho haambiwi Tazama.
 
Tutegemee mengi mengine kutoka Vietnam.
Ahsante Kikwete kwa hili deal la kihistoria.
Wachache yunafahamu kazi kubwa uliyoifanya kwenye hili.
Kumbe zilikuwa ni juhudi za Kikwete! Nilidhani jiwe!
 
T&T ni kampuni ya Technelogy sasa linapokuja suala la Korosho hapo bado sijaelewa.
 
Hujathibitisha nina chuki binafsi.

Hujathibitisha serikali iliuza korosho nje.

Hujakanusha kwamba serikali imetuingiza katika hasara kubwa kwa kuingikia biashara ya korosho.

Hujakanusha kwamba nauzo ya mazao ya kilimo yameangukwa kwa zaidi ya nusu ya mapato kwa mwaka mmoja uliopita, kwa asilimia 55.

Hujatuinesha mkakati wa serikali kujihimu kukabiliana na muanguko huu.

Benki Kuu ya Tanzania yenyewe imetuambia habari hizi.

Unamtetea JPM kwa mahaba tu, wakati data zinaonesha anaangusha exports za kilimo.

Nimemleta Kiranga huku kwa nguvu ati anajifanya huu Uzi hajauona.
 
T&T ni kampuni ya Technelogy sasa linapokuja suala la Korosho hapo bado sijaelewa.
Utapeli mtupu.

Mtu anakwambia T&T wamenunua korosho, halafu anakuoa kazi ya kuthibitisha hilo wewe anayekuambia hilo.

What a load of bollocks.
 
Umeshindwa hoja kule, umekuja huku nako umeshindwa hoja.

Jibu hoja, acha viroja.

Hoja ni ipi? Uliuliza nani wamenunua korosho. Hiyo kampuni imenunua wewe Kiranga ndio mwerevu unasema hawakununua, sema ukweli wewe basi unayeshinda JF kupotosha.
 
Hoja ni ipi? Uliuliza nani wamenunua korosho. Hiyo kampuni imenunua wewe Kiranga ndio mwerevu unasema hawakununua, sema ukweli wewe basi unayeshinda JF kupotosha.
Habari rasmi za kununuliwa kwa korosho na kampuni hiyo kutoka serikalini ziko wapi?

Korosho zimenunuliwa lini?

Ziliponunuliwa bei katika soko ilikuwaje na iliwezaje kutunufaisha kulingana na bei kubwa iliyo spike wakati serikali inazozana na wafanyabiashara kuhusu uuzaji wa korosho nje?

Hujajibu maswali haya.
 
Back
Top Bottom