World Cup Qualifying Match-TANZANIA

World Cup Qualifying Match-TANZANIA

rubaman

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
4,983
Reaction score
3,084
Jamani naomba kuuliza mechi kati ya Tanzania na Morocco katika kutafuta nafasi za World cup itachezwa lini? Kama tunavyojua wikiendi hii ndo mechi za kusaka watakaokwenda World cup zimechezwa duniani... Najua ni ndoto za alinacha kwetu kufuzu hii kitu.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom