World cup live kwenye mobile phone..!

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Wadau sasa umefika wa kuachana na kitochi changu ili nipate world cup live kupitia simu. Je ni kimobitel gani naeza pata matangazo live. Naombeni link pia ya mobile phone au laptop ili nikiwa kwa ofisi nipate kitu live bila chenga. Nisaidieni...
 
Dash... Tulipie DSTV. Yaani unaturudisha kulekule kwa kaburu!
 
Mbona wanachannel kama tatu Vodacom unaangalia bure massa 24...
Na charges zao sio kubwa
...mkuu umenichanganya kidogo, umesema bure alafu charges zao sio kubwa,apo inakuwaje...?
 
...mkuu umenichanganya kidogo, umesema bure alafu charges zao sio kubwa,apo inakuwaje...?

nilimaanisha kuna channel za free na kuna za kulipia
Kama unatumoa vodacom tembelea hiyo page majibu utayakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…