sio wakina Wilshire na Ox wanafika UK Airport wanasubiria XBox game zao kwa Dereva wa gari wakacheze game home Hawana hata uchungu wa game ya ukweli.Leo ndio mara yangu ya kwanza kuona kocha analia na wachezaji wanamtuliza.cocha wa Algeria analia mzee wa watu dah!very emotional!
hii ya pili anatoka Brazili,ya kwanza anatoka USAReferees wa hizi mechi za leo ni wa kutoka nchi zipi!?
Roho inauma sana bora hata brazil wangefungwa isingeuma kuliko hawa jamaa
Dah nitake radhi plz
Utapigwa butwaa France itafika fainal,kama 2006 ilifika fainali watu waliidharau,isingekuwa red card aliyopewa Zidane basi fRANCE INGEBEBA KOMBE
Usihuzunike mama.uwe na moyo mgumu kama wa Wenger!
Kama Algeria angecheza na France angepita maana wapo vyema sana kwenye kumalizia
Kiboko cha France ni Germany,anzia kwenye vita hadi kwenye mpira bila kusahau uchumi
Haya wale wa Team USA mko wapi?
Kesho Soldier Field in Chicago na Cowboys' AT&T stadium in Dallas zita-host world cup viewing party bure!
[h=1]Cowboys' AT&T Stadium to host free U.S.-Belgium World Cup watching party Tuesday[/h]
[h=1]Soldier Field to host Tuesday's World Cup viewing party[/h]
Team USA let's goooooooooooooo
Nigeria tumewakosa key prayer wetu wengi kwenye hii game.
-Babaude
-Onazi
Former England winger Chris Waddle
BBC Radio 5 live in Porto Alegre
Germany 2-1 Algeria
Posted at
"For most of the game Algeria were excellent and deserve the praise and credit that they will receive for doing a real job against a side that a lot think will get to the semi-finals at least.
"But from 70 minutes on Germany took control and they could have scored four or five goals. But Algeria will go home as heroes and rightly so."
Team england mshatolea kitambo sasa umehama timu gani?
Team kubwa brazil
Nawaombea dua waje watolewe na france kiwashuke
Hahahahahaha lol!!!! ulitaka kuirukia kungfu lol!!!! 🙂 usiache kuangalia banaaa pamoja na timu za kwetu kutolewa bado kuna mechi nzuri sana zinakuja, nimeingia BBC few minutes ago washabiki wanaweka comments zao kuhusu huu mchezo ulioisha punde tu, wengi wanaisifia sana Algeria.
Karibu team France mama,kwa yule mkaka anaitwa Pogba anachezea timu moja hivi inaitwa Juventus!