Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,044
- 60,235
Fikiria ndo kazi yake jamani,inauma jamani sasa itabidi awe kwenye matibabu,Matuidi kanisikitisha sana,labda ni bahati mbayapole imesikitisha sana.... mile nilijua kavunjwa mguu
ona hapa walivyomsukuma huyo kaka