Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,436
- 17,908
Kama macho yangu yatakuwa sahihi goli lililofungwa na nigeria halikuwa offside. Hata picha za repy zimeonyesha hivyo. Lile lilikuwa goli halali kabisa. Kwa mara nyingine uamuzi mbovu unatucost.